Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,224
Kwani Tanzania hakuna udini, Jana ulisikia Viongozi walivyokutana wakalisema suala hilo la udini na pia vile vile ukabila,nitajie general wa jeshi ukimuachilia mbali Abdallah Twalipo aliekuwa Muislam, na Nitajie general wa Majeshi alietoka Zanzibar, usiongee pumba Tanzania udini upo na ukabila upo
We unakichaa tena sana. Mnadhimu mkuu mstaafu Gen Abdulrahaman Shimbo, walikua pamoja na Gen Meamunyange, yeye akiwa kama mnadhimu mkuu kabla ya kustaafu, na sasa ni balozi huko china. Gen Mustafa Kijuu, angalia alikua anawadhifa gani. We unakichaa.