Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,224
Kwani Tanzania hakuna udini, Jana ulisikia Viongozi walivyokutana wakalisema suala hilo la udini na pia vile vile ukabila,nitajie general wa jeshi ukimuachilia mbali Abdallah Twalipo aliekuwa Muislam, na Nitajie general wa Majeshi alietoka Zanzibar, usiongee pumba Tanzania udini upo na ukabila upo
Upo, Sisi waunguja tunawabagua wapemba, wapemba wanawabagua wabara kama si ukabila ni nini,
Tujaalie ukabila hamna, utaniambia na udini hamna au?
Nimekuambia general sio major general wala liutenant general, halafu umetaja wawili kwenye wengiWe unakichaa tena sana. Mnadhimu mkuu mstaafu Gen Abdulrahaman Shimbo, walikua pamoja na Gen Meamunyange, yeye akiwa kama mnadhimu mkuu kabla ya kustaafu, na sasa ni balozi huko china. Gen Mustafa Kijuu, angalia alikua anawadhifa gani. We unakichaa.
Utachekwa ndugu, Tunaojua kiswahili ni sisi watu wa Pwani sema lahaja kidogo zimetofautiana, mimi ni mzanzibar safi na sitokaa nkasema mie ni mtanzaniaWewe sio mtanzania, kwani nimefuatilia kwa kina, kiswahili chako ni kibovu sana, pia huijui nnchi.
Inawezekana sana hizi nchi masikini zenye vita kama DRC na South Sudan zikatuzidi uwezo wa kijeshi kwa sababu pesa yao nyingi wanatumia kununua silaha tofauti na sisi wenye amani pesa yetu inaelekezwa zaidi kwenye miradi ya maendeleo.
Bwana Uhuru ni Umoja hebu nipe namba yako Ya simu, ili nikupigie then tuongee Baadae ndo utahukumu kama naongea kibara au kiswahili safiUtachekwa ndugu, Tunaojua kiswahili ni sisi watu wa Pwani sema lahaja kidogo zimetofautiana, mimi ni mzanzibar safi na sitokaa nkasema mie ni mtanzania
Nimekuambia general sio major general wala liutenant general, halafu umetaja wawili kwenye wengi
Alietoka Zanzibar mbona hujantajia bado
Bwana Uhuru ni Umoja hebu nipe namba yako Ya simu, ili nikupigie then tuongee Baadae ndo utahukumu kama naongea kibara au kiswahili safi
Iyo ndo umeona sababu mwenyeo, mimi nlikuwa sijui kwamba kwanini watu huku wanasema 'tunataka nchi yetu' sasa nshaijua, nakushkuru kwa kunifumbua macho na unaweza kunipa sababu gani inayowafanya Tanganyika inafanya kulhali ili Zanzibar wasijitenge Hali ya kuwa ina population ndogo, approximately 1.5 mill ukilinganisha na Tanganyika Appr 49mill, hebu nieleweshe pengine unaweza kujuaZanzibar ni kasehemu kidogo sana ka Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia ni kasehemu kenye watu wasiozidi million moja, waume, wake, wasichana, wavulana na watoto. Pia ni sehemu yenye idadi ndogo ya watu wenye umri wakuajiriwa, achilia mbali wa kujiunga Jeshi. Hivyo Idadi ya wanajeshi wa Zanzibar ndani ya JWTZ ni ndogo na katika udogo huu ni wawili watatu hufanya vyema kufika kwenye vyeo kadhaa. kabda kama unaidadi kamili ama wahisi Zanzibar inaidadi ya wanajeshi sawa na bara hivyo kila kitu kiwe sawa. Bangi za madrasa hizi.
Wewe ndo hujui kiswahili, zanzibar kasehemu kadogo, hakuna widhani huo kwenye lugha ya kiswahili, usahihi ni kusema zanzibar ni sehemu ndogo, umeona kosa lako hilo bwana mwenye kuongea kiswahili safi cha baraI dont live in Tanzania. Ningekua Tanzania ningekupa namba but I dont live anywhere near Tanzania.
Unajua achana na huyo wala siyo mzanzibar ni mkenya anajifanya kuwa mzanzibar. Mpotezee.I dont live in Tanzania. Ningekua Tanzania ningekupa namba but I dont live anywhere near Tanzania.
JE wapemba ni kabila.Wewe sio mtanzania, kwani nimefuatilia kwa kina, kiswahili chako ni kibovu sana, pia huijui nnchi.
Sawa Mtanganyika nimekuskia, ndo maana wazanzibar hatutaki kuwa na nyinyi, mko tofauti, sijui Nyerere aliona niniUnajua achana na huyo wala siyo mzanzibar ni mkenya anajifanya kuwa mzanzibar. Mpotezee.
Wewe unafikir nini, au unaweza kuniambia makabila yaliokuwepo pembaJE wapemba ni kabila.
mojawapo nasikia wakojan na wengineo mpemba ni sawa na kusema muunguja nisahihishweWewe unafikir nini, au unaweza kuniambia makabila yaliokuwepo pemba
Si sawa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mojawapo nasikia wakojan na wengineo mpemba ni sawa na kusema muunguja nisahihishwe
unaonaje?Umemaliza?
naona na macho..unaonaje?