TPDF ranks position 27 in the World!

kiukweli, kwa hii karne , most militaries especially of developing countries are trained the same... what differs is the amount of hours and resources and technology that goes in. the training....

In short tuseme tu, The country that can control the airspace and project its navy will win the war.... angalia kama Nigeria vs South Africa, sometimes eti Nigeria inakua ranked higher than SA. lakini ki ukweli kama vita vikianguka leo, ndege za SA ambazo ni 4th gen zitabomoa zana zote za kivita za nigeria wiki ya kwanza bila hata kukanyaga ardhi ya nigeria.. nigeria itakua imeisha nguvu.....
Angalia vile Iraq iliangushwa wakati wa sadam hussein...
angalia vile Libya na zana zote zake kali kali iliangushwa na NATO.....


Tunafaa sote tuogope nchi zenye ndege kali kali, sikuhizi ndege ziko na elecronic counter measures and multiple target acquisition ambazo ziko advanced, hata kama uko na radar na surface to air missiles bado ndege itabwaga mabomu na kukwepa makombora yako..... ndege za sikuhizi ukiirushia kombora hapo kwa hapo inatafuta kombora limetoka wapi nayo inaachilia kombora lake lifwate kule kombora lako limetoka (hata fighter jets zavkisasa hazipendagi ujinga) Waafrica tunafaa kuwekeza kwa radar za early warning systems na ndege za kisasa na pia air defence networks za nguvu.. nchi kama marekani inaweza chafua Africa nzima from north to South na usiku mmoja tu! watakaoweza kujitetea ni akina Egypt na algeria tu.... mmarekani ako na fighterjets elfu mbili.... nchi kama kenya iko na 30pekee tena za model ya kitambo ya 3rd generation
 
hadithi yako inatufundisha nini?
 
hadithi yako inatufundisha nini?

Inawafundisha muache kiherehere. Dunia hii ina wenyewe, hakikisha una zana za kweli za kivita, hususan ndege, huwezi kuwa namba 27 kwa kupasua pasua matofali. Waafrika aliyetulaani kafia zake mbali maana tunatia huruma.

Marekani akiamua kutupea kibano Afrika, itakua mwendo wa raha kwake, maana atakua anabonyeza bonyeza tu.
 
So what?
 
hadithi yako inatufundisha nini?
Hivi walimu wenu walikua wanawasomea hadithi alafu wakimaliza wanakueleza funzo na maana ya hadithi bila hata kuacha ufikirie mwenyewe na ujaribu kueleza umeelewa nini.
.. amabhaukupitia hio stage kuanzia kidato cha sita hivi????
 
He he. Sijui Geza atasemaje baada ya kuna takwimu hizi. Hats hiyo, kuna tofauti kati ya Democratic Republic of the Congo na Republic of the Congo
Hiya ni Congo Brazzaville ni tofauti na DRC !
 
geza mtanzania mwenzako kesha nena !! Come look kenya 75 tanzania 96
 
nlisema kitambo ndani ya mipaka ya tz ndio wanaona tpdf iko juu...ukivuka hiyo mipaka no one knows if tpdf exists.....bure hawa jamaa.wamelipua beaches wakadhani wameshikilia ulimwengu viganjani mwao.now wake up to the reality guys
 
Chizi kweli ww, tena kichaa!! Eti DRC imeizidi Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama wangeizidi wangeomba msaada JWTZ dhidi wa watoto wa M23
 
Chizi kweli ww, tena kichaa!! Eti DRC imeizidi Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama wangeizidi wangeomba msaada JWTZ dhidi wa watoto wa M23
thank God umekubali m23 niwatoto...maana mkiguswa tu mshaanza tuliwapiga m23.for once mtz amekubali hakuna chochote cha maana kupiga m23.next tym plz muaachane na hiyo tabia ya kujisifia kwa m23
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…