TPDF ranks position 27 in the World!

TPDF ranks position 27 in the World!

Pyuuu sijui unaongea nini hapa sasa hebu andika vizuri ueleweka maana hueleweki. Samahani lakini.
Tatizo hujui lugha Ya kiswahili, ibara yeyote ikiongelewa, basi humkusudia mtu alie karibu katika ibara hio kwa mfano vipi huko Msumbiji walipelekwa Jeshi kutoka Zanzibar, kitendo hicho ndicho kilichofanya karume na Nyerere kuwa na bifu, hapo umeelewa au
 
1
0.0897 - United States of America (North America; NATO)
2 0.0964 - Russia (Asia)
3 0.0988 - China (Asia)
4 0.1661 - India (Asia)
5
0.1993 - France (Europe; NATO; Eunion)
6
0.2164 - United Kingdom (Europe; NATO; Eunion)
7 0.2466 - Japan (Asia)
8
0.2623 - Turkey (Asia; Middle East; NATO)
9
0.2646 - Germany (Europe; NATO; Eunion)
10
0.2724 - Italy (Europe; NATO; Eunion)
11 0.2824 - South Korea (Asia)
12
0.3056 - Egypt (Africa; Middle East)
13 0.3246 - Pakistan (Asia)
14
0.3354 - Indonesia (Asia; Southeast)
15
0.3359 - Brazil (South America; Latin)
16 0.3591 - Israel (Middle East)
17
0.3684 - Vietnam (Asia; Southeast)
18
0.3909 - Poland (Europe; NATO; Eunion)
19 0.3958 - Taiwan (Asia)
20
0.4068 - Thailand (Asia; Southeast)
21 0.4071 - Iran (Middle East)
22
0.4192 - Canada (North America; NATO)
23 0.4209 - Australia (Asia)
24
0.4335 - Saudi Arabia (Middle East)
25 0.4442 - North Korea (Asia)
26 0.4514 - Algeria (Africa)
27
0.4913 - Spain (Europe; NATO; Eunion)
28
0.5147 - Greece (Europe; NATO; Eunion)
29
0.5774 - Sweden (Scandanavia; Eunion)
30 0.5867 - Ukraine (Europe)
31
0.6286 - Mexico (North America; Latin)
32
0.6378 - Czech Republic (Europe; NATO; Eunion)
33
0.6584 - Myanmar (Asia; Southeast)
34
0.6679 - Malaysia (Asia; Southeast)
35
0.7073 - Argentina (South America; Latin)
36 0.7078 - Syria (Middle East)
37
0.7112 - Switzerland (Europe)
38
0.7147 - Norway (Scandanavia; NATO)
39
0.7182 - Netherlands (Europe; NATO; Eunion)
40
0.7501 - Peru (South America)
41
0.7502 - Colombia (South America; Latin)
42 0.7619 - Ethiopia (Africa)
43
0.7744 - Romania (Europe; NATO; Eunion)
44 0.7856 - Nigeria (Africa)
45
0.7882 - Venezuela (South America; Latin)
46
0.8252 - South Africa (Africa)
47
0.8283 - Chile (South America; Latin)
48 0.8384 - Uzbekistan (Asia)
49 0.8449 - Belarus (Europe)
50
0.8453 - Denmark (Scandanavia; Europe; NATO; Eunion)
51
0.8661 - Philippines (Asia; Southeast)
52 0.8683 - Bangladesh (Asia)
53 0.8722 - Kazakhstan (Asia)
54 0.8878 - Angola (Africa)
55
0.8952 - Finland (Scandanavia; Eunion)
56 0.9011 - Morocco (Africa)
57
0.9135 - Austria (Europe; Eunion)
58
0.9301 - United Arab Emirates (Middle East)
59 0.9342 - Iraq (Middle East)
60 0.9349 - Azerbaijan (Asia)
61
0.9678 - Yemen (Middle East)
62
1.0007 - Hungary (Europe; NATO; Eunion)
63
1.0199 - Portugal (Europe; NATO; Eunion)
64
1.0241 - Singapore (Asia; Southeast)
65
1.0391 - Belgium (Europe; NATO; Eunion)
66 1.0611 - Afghanistan (Asia)
67
1.0657 - Bulgaria (Europe; NATO; Eunion)
68
1.0733 - Croatia (Europe; NATO; Eunion)
69
1.1582 - Ecuador (South America)
70
1.2354 - Jordan (Middle East)
71 1.2356 - Sudan (Africa)
72 1.3169 - Libya (Africa)
73
1.3384 - Democratic Republic of the Congo (Africa)
74
1.3687 - Slovakia (Europe; NATO; Eunion)
75 1.3731 - Kenya (Africa)
76 1.4089 - Tunisia (Africa)
77
1.4219 - Oman (Middle East)
78
1.4601 - Kuwait (Middle East)
79
1.4637 - Cuba (Central America)
80 1.5148 - Georgia (Asia)
81
1.5483 - Bolivia (South America)
82 1.5508 - Zimbabwe (Africa)
83 1.5868 - Serbia (Europe)
84 1.6268 - Sri Lanka (Asia)
85 1.6539 - Zambia (Africa)
86
1.6722 - Turkmenistan (Asia)
87 1.7981 - Mongolia (Asia)
88
1.8224 - Cambodia (Asia; Southeast)
89 1.8307 - Chad (Africa)
90
1.8564 - Albania (Europe; NATO)
91
1.8778 - Bahrain (Middle East)
92 1.8793 - Uganda (Africa)
93 1.8956 - Qatar (Middle East)
94 1.9113 - Armenia (Asia)
95
1.9243 - Lebanon (Middle East)
96 1.9561 - Tanzania (Africa)
97
1.9598 - Lithuania (Europe; NATO; Eunion)
98 1.9741 - Nepal (Asia)
99
1.9801 - South Sudan (Africa)
100 2.0476 - Ghana (Africa)
Kwamba hata Uganda tuliyoiazima majeshi yetu inatuzidi?!
 
Safi sana JWTZ ,afrika hatuna mpinzani .duniani namba 27 .napenda Tz
 
kiukweli, kwa hii karne , most militaries especially of developing countries are trained the same... what differs is the amount of hours and resources and technology that goes in. the training....

In short tuseme tu, The country that can control the airspace and project its navy will win the war.... angalia kama Nigeria vs South Africa, sometimes eti Nigeria inakua ranked higher than SA. lakini ki ukweli kama vita vikianguka leo, ndege za SA ambazo ni 4th gen zitabomoa zana zote za kivita za nigeria wiki ya kwanza bila hata kukanyaga ardhi ya nigeria.. nigeria itakua imeisha nguvu.....
Angalia vile Iraq iliangushwa wakati wa sadam hussein...
angalia vile Libya na zana zote zake kali kali iliangushwa na NATO.....

Tunafaa sote tuogope nchi zenye ndege kali kali, sikuhizi ndege ziko na elecronic counter measures and multiple target acquisition ambazo ziko advanced, hata kama uko na radar na surface to air missiles bado ndege itabwaga mabomu na kukwepa makombora yako..... ndege za sikuhizi ukiirushia kombora hapo kwa hapo inatafuta kombora limetoka wapi nayo inaachilia kombora lake lifwate kule kombora lako limetoka (hata fighter jets zavkisasa hazipendagi ujinga) Waafrica tunafaa kuwekeza kwa radar za early warning systems na ndege za kisasa na pia air defence networks za nguvu.. nchi kama marekani inaweza chafua Africa nzima from north to South na usiku mmoja tu! watakaoweza kujitetea ni akina Egypt na algeria tu.... mmarekani ako na fighterjets elfu mbili.... nchi kama kenya iko na 30pekee tena za model ya kitambo ya 3rd generation
Shida ni nchi zinazoishia kushindana na upinzani wa ndani na kujisahau upinzani wa nje endapo utaerupt.

Nchi zinazowekeza sana kwenye Police Forces badala ya Military empowerment, haziwezi kujua kama silaha zilizo nazo ziko outdated already!
 
Hivi walimu wenu walikua wanawasomea hadithi alafu wakimaliza wanakueleza funzo na maana ya hadithi bila hata kuacha ufikirie mwenyewe na ujaribu kueleza umeelewa nini.
.. amabhaukupitia hio stage kuanzia kidato cha sita hivi????
So you just make assumptions about me...Your intellect is incapacitated.
 
hadithi yako inatufundisha nini?

Hujui chochote kuhusu vita. Kua na ndege kali inadepend unadili na nani. Videge vya south africa mainly ni Eupen, saab, Sweden. Injini moja na haviwezi dog fight. Hivi vijidege na vingine will be rendered useless kama vikiingia kwenye territory ya adui aliyewekeza vilivyo kwenya Surface-to-Air defence kama ilivyo Tanzania. Pia ujue tu, Tanzania is the only country in Africa with capacity to mobilize millions of solders, all well trained, within a short period of time. Tanzania has the highly trained troops that have for over 45yrs engaged in and won numerous of wars and covert operations.
 
Ngoja waingie al shabaab ili tuhakikishe uo ujinga uliosema
 
Uongo Kuna G20, Saudia Arabia, Egypt, North Korea, Algeria, Tunisia, Libya, Morocco, Pakistan Turkey, na nchi nyenginezo, bado jw Iwe Ya 27, fungua ubongo, labda jw wangeongoza kwa uzinzi na pombe

We unakichaa, G20 ni maswala mengine kabisa, mkoje nyie, mmekimbia shule or mbona wajinga hivi? G20 Africa ni South Africa tu nijuavyo. Libya? Miaka ya Sabini na tisa na themanini Gadafi alituahidi mafuta bure mwaka mzima bila malipo ili tu tuwaachie maelfu ya wanajeshi wake waliokua mateka wa vita. Sijui kama ulikya umezaliwa. Jaribu kujisomea somea. Eti G20! Mi humu JF ndio maana sipapendi, wajinga wengi mno na ni wajinga kupita kiasi.
 
kupanda miti? jeshi la south, jeshi la misri? jeshi la nigeria?
Wewe ndugu hujui chochote.
Soma hapa kidogo ujue kuna vitu vingine vimefichwa haviko wazi
Tanzania Bids for Russian Military Supplies

Sisi tunatumia Silaha za Urusi na China. Na jeshi letu ndio limeaminiwa na nchi hizo na tunapata ubabe toka kwa hao wakuu.
Hao ni ndugu zetu wa karibu tulipambana nao katika ujamaa. Halafu ukumbuke tulisimama kidete kuitetea chini umoja wa mataifa huku USA wakizingua.
Yaone hapa mambo na ujue kwanini tunasema ni namba 27 duniani
Un.jpg

PNS.jpg
 
Ngoja waingie al shabaab ili tuhakikishe uo ujinga uliosema
Strategy za jeshi la TZ na Kenya ni tofauti kabisa. Nyie mipango yenu ni ya kibepari sisi mipango yetu ni ya kijamaa.
Nyie mkikosa pesa jeshini mnaanza kuimba. Lakini sisi Tanzania tunakuwa na umoja na udugu huku tukishirikiana.

Kwa hiyo hao Al shababu tunaweza kudili nao tofauti kabisa na nyie mnavyofanya. Nyie mnaenda kwa mihemko. Sisi tunaenda strategical huku tukitanguliza diplomasia.
 
Tatizo wabongo dharau.nigeria rwanda bangladesh pakistan bukinafaso china wapo darfur ila eneo gumu kukaliwa kapewa tanzania fatilia vita ya darfur na eneo walipo jwtz ndo utajua wamewezaje kukaa hapo
 
We unakichaa, G20 ni maswala mengine kabisa, mkoje nyie, mmekimbia shule or mbona wajinga hivi? G20 Africa ni South Africa tu nijuavyo. Libya? Miaka ya Sabini na tisa na themanini Gadafi alituahidi mafuta bure mwaka mzima bila malipo ili tu tuwaachie maelfu ya wanajeshi wake waliokua mateka wa vita. Sijui kama ulikya umezaliwa. Jaribu kujisomea somea. Eti G20! Mi humu JF ndio maana sipapendi, wajinga wengi mno na ni wajinga kupita kiasi.
Kuteka sio tatizo hata hamas wa Palestina wameteka jeshi la Israel, Islamic state waliteka majeshi Ya marekani waliopelekwa kama infantry, AL shabaab wameteka majeshi kibao yaliopelekwa pale Somalia, jw hamna kitu, Kwa hapa Africa Na wakubali sana Misri na Algeria wako sawa, jw labda pombe na uzinzi
 
Wewe ndugu hujui chochote.
Soma hapa kidogo ujue kuna vitu vingine vimefichwa haviko wazi
Tanzania Bids for Russian Military Supplies

Sisi tunatumia Silaha za Urusi na China. Na jeshi letu ndio limeaminiwa na nchi hizo na tunapata ubabe toka kwa hao wakuu.
Hao ni ndugu zetu wa karibu tulipambana nao katika ujamaa. Halafu ukumbuke tulisimama kidete kuitetea chini umoja wa mataifa huku USA wakizingua.
Yaone hapa mambo na ujue kwanini tunasema ni namba 27 duniani
View attachment 418783

View attachment 418784
Nyerere alikuwa alikuwa akiungwa mkono na Eastern Germany mabepari wakubwa, Sisi Zanzibar ndio tulikuwa tunaungwa mkono na Russia, China and Western Germany ambao ni wajamaa, Baada ya kutuona tunafaidi akawasaliti East Germany ambao ni wapinzani wa West Germany ambao ni marafiki wa Zanzibar ili alete Muungano. Baada ya Muungano ndo Tanganyika mkapata fursa Ya kujuana na China na Urusi kupitia Zanzibar
 
kupanda miti? jeshi la south, jeshi la misri? jeshi la nigeria?

Naona vilaza wengi wanaongea juu ya vifaa, bajeti na mambo mengi ya kijinga.

Jeshini the first and foremost thing is discipline, nidham, genuine sense of nationalism and patriotism. Jeshi la nigeria linanidham mbovu sana, ni jeshi ambalo linawatu ukiwaahidi hela ndogo tu, wanasaliti nchi na wenzao, its not an army to reckon with.

Ni Kama jeshi la Kenya, recruitment process depends much on the ethnicity and not merit, pia wananidham mbovu, kila mtu aliona pale westgate mall walivyoiabisha kenya baada ya kuona chocolates na soda kwenye friji. Imagine, yaani wanaacha majukumu yao nakuiba vitu vya kijinga kama soda.

Jeshi la South Africa nalo nidham ni shida, mwaka juzi wanajeshi kibao wali mutiny na kuzagaa hivyo mitaani wakidai nyongeza ya mishahara. Ni jeshi pekee limefanya utovu nidham kiasi hiki. Pia, zaidi ya 80% ya wanajeshi wake wanatumia ARVs, hawa ndio watu wa kwenda in the line of duty? Hamjui mnachokiongea.
 
Kuteka sio tatizo hata hamas wa Palestina wameteka jeshi la Israel, Islamic state waliteka majeshi Ya marekani waliopelekwa kama infantry, AL shabaab wameteka majeshi kibao yaliopelekwa pale Somalia, jw hamna kitu, Kwa hapa Africa Na wakubali sana Misri na Algeria wako sawa, jw labda pombe na uzinzi

Uliandika G20 ama? Ndio nlikushanga maana hakuna ushabiriano kati ya mambo ya kijeshi na G20.

Jeshi sio kwenye talking fora kama JF, jeshi ni kwenye battlefield. Na jeshi hupimwa kwa number za vita na covert operations zilizo perform za kushinda kwa weledi wa hali ya juu. JWTZ ina historia hiyo throughout cold war. Nipe operations za misri na algeria ba vita walizo shinda?
 
We unakichaa, G20 ni maswala mengine kabisa, mkoje nyie, mmekimbia shule or mbona wajinga hivi? G20 Africa ni South Africa tu nijuavyo. Libya? Miaka ya Sabini na tisa na themanini Gadafi alituahidi mafuta bure mwaka mzima bila malipo ili tu tuwaachie maelfu ya wanajeshi wake waliokua mateka wa vita. Sijui kama ulikya umezaliwa. Jaribu kujisomea somea. Eti G20! Mi humu JF ndio maana sipapendi, wajinga wengi mno na ni wajinga kupita kiasi.
Wewe unaongea jeshi la miaka Ya sabini, wale wote washakufa nahisi, hapa tunaongelea current situation sio history, raisi alipanda punda henzi hizo kulikuwa hamna gari
 
Back
Top Bottom