TPDF(wazee wa kazi) waingilia kati, waamua kulitoa Lori lililozama baada ya makampuni binafsi kushindwa

Hiyo issue ndogo sana naamin hata jesh la magereza wangeweza
Hawana vifaa vya kufanya hiyo kazi, JWTz Kuna idara ya uhandisi na vifaa vingi vya uokoaji na uhandisi.
 
Mbona kama una msongo wa mawazo baby. Sijasema chochote against. Nilimaanisha kampuni ya kwanza ilitumia mtindo wa kufunga chain na kuvuta. Hata kama ni small object haiwezi vutwa kwenye river bunk .okey next time tenganisha shida zako na exchange of ideas .uwe na wakati mwema mama
 
Sijui hata umeandika nini.
Yaani mtu anashida alafu eti anăangaza kama kuna kampuni?huyo mama alikiwa analia anaomba msaada kwa rais amsaidie maana alikuwa hana hela na gari ndio safari ya kwanza tangu limeingia road.hilo la jeshi 3eti rasilimli watu bado haliingii akilini au ngivu zao eti kwa sababu ni jeshi.wenye makampuni yao waliangalia malipo ya huyo mama ikaonekana masilahi hakuna sio kwamba eri walishindwa. Plies usiniaminishe hilo kwani mara ngapi tunaona hata hao jeahi kuna yanayowashinda wanaomba maada kwenye kampimuni za kiraia
 
Shida ilikuwa kwenye dau lake ndio kilichomponza any way tuyaache hayo yashapita
 
Hii ni kazi rahisi kukiwa na vifaa sahihi.. Wazungu waleweza kuinyanyua meli ya Costa Concordia iliyokuwa imezama baharini ambayo ina uzito wa zaidi ya tani 30,000!
 
Hiyo ni kazi inayoweza kufanyika na tekinolojia ya karne ya 20,sio jambo kubwa,
Mi ningesikia kwamba kiwanda cha Nyumbu,kwa kushirikiana na taasisi za tekinolojia wameweza kutengeneza engine ya landcruiser,na kwa sasa tunajiandaa kuzalisha nyingi na kununua mabody yaliotayari kutoka Japan,harafu engine tunaweka wenyewe,hayo ndio maneno,
 
Lete mifano wacha kuzungumza vitu visivyokua na uhakika, huyo mama hapo anasema kwa kampuni lolote lenye uwezo wa kulitoa wajitokeze ili wazungumze, kwani hilo kampuni lililoshindwa wangefanikiwa wasingelipwa?.

Wewe unasema makampuni yameona huyo mama hawezi kulipa, taja ni kampuni gani hilo lenye uwezo wa kulitoa lakini liliona huyo mama hana pesa, je wewe ni mfanyakaxi wa hilo kampuni au ulijuaje?, pia tuambie ni wapi jeshi lilishindwa na kuomba msaada, na huo msaada waliomba kwa kampuni gani?. Wacha kuzungumza mambo ya kufikiria ambayo huna uhakika wala ushahidi.
 
Pole sana wacha ninyamaze tufanye umeshinda wewe.
Ngoja nikalale kidogo nikiamka niingie jim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…