EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
kuna swali linarukwa hapa, INJINI IPO WAPI?? inamaana wezi waliifungua mtoni bila kuogopa mamba au waliitoa kwanza kabla ya kutoa gari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team kutoka JWTZ imefika Wami ikiwa na Gari mbili za uokoaji na imefanikiwa kulichomoa Lori hilo leo, awali kabla ya Jeshi kuingilia kati waokoaji wa kwanza walishindwa kutokana na madai ya uwepo wa kina kirefu, kasi ya maji, maji machafu nk, hadi kufanya Mwajuma akate tamaa na kurudi DSM.
MY TAKE; Tanzania hoyeeeeeee
Unajua maana ya muda wa kazi?, ni kuanzia pale unapokabidhiwa kazi kuifanya, JW waliamua kuingilia kati baada ya makampuni binafsi ambao ndio wenye jukumu la kuitoa.
Kenya Serikali yenu na vyombo vyake vyote vilianza kazi na kuhamia eneo la tukia siku ya kwanza tu baada ya Gari kutumbukia baharini, walikamisha hilo zoezi baada ya siku 24.
JW hawakua na jukumu wala wajibu wa kuitoa hiyo Gari, baada ya kuona waneshindwa hizo kampuni binafsi, ndio JW wakaona huruma na kuamua kumsaidi, muda wa kazi wa JW ni masaa 6 tu.
Ama kweli wewe ni mpumbavu una jua kilometa wee tena unasema kadhaa maana yake kilometa zaidi ya 1Haibadilishi kitu, JWTZ wamekuta gari lipo linaonekena kwenye mto, wanaume walikua wametumia nguvu nyingi kulivuta na kusogesha hadi wakaiba engine, hivyo ilikua kazi ndogo sana sema mlivyo wazembe mkakawia. Kule baharini sisi gari lilizama na kuvutwa na kitu tunaita under current, kiasi kwamba halikua linaonekana hata pale lilizamia, yaani lilihamishwa kilomita kadhaa, ila kwa utaalam wa hali ya juu na wa kipekee ukanda huu, tukafaulu kulipata.
Hivi nyie mna jesh la wanamaji kweli au ni mna boti za samaki pale baharini, ni aibu sana kwa nchi yenye bahari kutokua na jeshi la wanamaji lenye sifa, kuna kipindi mlionyesha mitumbwi ya kuvulia samaki eti ndio meli zenu za kivita, nakumbuka ile show yenu ya kupiga minazi mabomu hehehe.
Unaonekana una pepo we inabidi nikusaidie tu kukutoa weka namba yako ya cm hapaMtoni karibia mwezi, tena nchi nzima[emoji23][emoji23]
Msikilize huyo mwenye Private Company abazungumzia kina cha MAJI na kasi ya MAJI pamoja na matatizo yaliyowafanya kushindwa kulitoa. Kasi ya maji ni kubwa kiasi cha kusomba Engine ya Scania tani 30.Haibadilishi kitu, JWTZ wamekuta gari lipo linaonekena kwenye mto, wanaume walikua wametumia nguvu nyingi kulivuta na kusogesha hadi wakaiba engine, hivyo ilikua kazi ndogo sana sema mlivyo wazembe mkakawia. Kule baharini sisi gari lilizama na kuvutwa na kitu tunaita under current, kiasi kwamba halikua linaonekana hata pale lilizamia, yaani lilihamishwa kilomita kadhaa, ila kwa utaalam wa hali ya juu na wa kipekee ukanda huu, tukafaulu kulipata.
Hivi nyie mna jesh la wanamaji kweli au ni mna boti za samaki pale baharini, ni aibu sana kwa nchi yenye bahari kutokua na jeshi la wanamaji lenye sifa, kuna kipindi mlionyesha mitumbwi ya kuvulia samaki eti ndio meli zenu za kivita, nakumbuka ile show yenu ya kupiga minazi mabomu hehehe.
Nimesikia kama umeuliza kama Tanzania haina Jeshi la wanamaji. Linganisha hili na Jeshi la Kenya lenye kutumia meli chakavu(Mitumba)Haibadilishi kitu, JWTZ wamekuta gari lipo linaonekena kwenye mto, wanaume walikua wametumia nguvu nyingi kulivuta na kusogesha hadi wakaiba engine, hivyo ilikua kazi ndogo sana sema mlivyo wazembe mkakawia. Kule baharini sisi gari lilizama na kuvutwa na kitu tunaita under current, kiasi kwamba halikua linaonekana hata pale lilizamia, yaani lilihamishwa kilomita kadhaa, ila kwa utaalam wa hali ya juu na wa kipekee ukanda huu, tukafaulu kulipata.
Hivi nyie mna jesh la wanamaji kweli au ni mna boti za samaki pale baharini, ni aibu sana kwa nchi yenye bahari kutokua na jeshi la wanamaji lenye sifa, kuna kipindi mlionyesha mitumbwi ya kuvulia samaki eti ndio meli zenu za kivita, nakumbuka ile show yenu ya kupiga minazi mabomu hehehe.
Haibadilishi kitu, JWTZ wamekuta gari lipo linaonekena kwenye mto, wanaume walikua wametumia nguvu nyingi kulivuta na kusogesha hadi wakaiba engine, hivyo ilikua kazi ndogo sana sema mlivyo wazembe mkakawia. Kule baharini sisi gari lilizama na kuvutwa na kitu tunaita under current, kiasi kwamba halikua linaonekana hata pale lilizamia, yaani lilihamishwa kilomita kadhaa, ila kwa utaalam wa hali ya juu na wa kipekee ukanda huu, tukafaulu kulipata.
Hivi nyie mna jesh la wanamaji kweli au ni mna boti za samaki pale baharini, ni aibu sana kwa nchi yenye bahari kutokua na jeshi la wanamaji lenye sifa, kuna kipindi mlionyesha mitumbwi ya kuvulia samaki eti ndio meli zenu za kivita, nakumbuka ile show yenu ya kupiga minazi mabomu hehehe.
Kdf ni kigenge cha wahuni jeshi hamna pale,toka walipowashindwa wale wavaa kobazi 2 pale westgate halafu kdf wakaishia kuiba biscuit kwenye lile tukio,toka pale nikawaona hawana lolotejoto la jiwe,
Wanajeshi wa Kenya walichukuwa wiki mbili kutoa maiti na gari ndogo kwenye kivuko cha baharini kule Mombasa!! JWTZ wametumia masaa 6 kutoa gari kubwa tena mtoni!! Kweli Kunyaland ni shida. MK254 unaitwa huku!!
Msikilize huyo mwenye Private Company abazungumzia kina cha MAJI na kasi ya MAJI pamoja na matatizo yaliyowafanya kushindwa kulitoa. Kasi ya maji ni kubwa kiasi cha kusomba Engine ya Scania tani 30.
Kale kagari kalikozama pale likoni uzito wake haifiki hata 200kg, lakini hakakusombwa na maji, hiyo in dalili kwamba maji ya likoni hayatembei yametulia
Team kutoka JWTZ imefika Wami ikiwa na Gari mbili za uokoaji na imefanikiwa kulichomoa Lori hilo leo, awali kabla ya Jeshi kuingilia kati waokoaji wa kwanza walishindwa kutokana na madai ya uwepo wa kina kirefu, kasi ya maji, maji machafu nk, hadi kufanya Mwajuma akate tamaa na kurudi DSM.
MY TAKE; Tanzania hoyeeeeeee
Meli zenu za kijeshi hazina rada za kuona kitu majini kwa kina kifupi kama hicho cha likoni? Kweli warship zenu ni makopo yenye kuelea majini ,kunya bure kabisaHaibadilishi kitu, JWTZ wamekuta gari lipo linaonekena kwenye mto, wanaume walikua wametumia nguvu nyingi kulivuta na kusogesha hadi wakaiba engine, hivyo ilikua kazi ndogo sana sema mlivyo wazembe mkakawia. Kule baharini sisi gari lilizama na kuvutwa na kitu tunaita under current, kiasi kwamba halikua linaonekana hata pale lilizamia, yaani lilihamishwa kilomita kadhaa, ila kwa utaalam wa hali ya juu na wa kipekee ukanda huu, tukafaulu kulipata.
Hivi nyie mna jesh la wanamaji kweli au ni mna boti za samaki pale baharini, ni aibu sana kwa nchi yenye bahari kutokua na jeshi la wanamaji lenye sifa, kuna kipindi mlionyesha mitumbwi ya kuvulia samaki eti ndio meli zenu za kivita, nakumbuka ile show yenu ya kupiga minazi mabomu hehehe.
Mtu anayelinganisha ugumu wa kuopoa gari kutoka mtoni na baharini ana matatizo ya akili. Bahari ni ligi nyingine tofauti.Hajui lolote kazi yake kupiga domo tu, hiyo Engine ya hiyo Scania iluyosombwa na maji, uzito wake ni Mara Tatu ya kale kagari kalikozama kule likoni Mombasa, lakini hakakusombwa na MAJI, hiyo inaonyesha ni kiasi gani maji ya mto Wami yanavyokwenda kwa kasi hasa kipindi hiki cha mvua nyingi.
..this is funny truth..Kdf ni kigenge cha wahuni jeshi hamna pale,toka walipowashindwa wale wavaa kobazi 2 pale westgate halafu kdf wakaishia kuiba biscuit kwenye lile tukio,toka pale nikawaona hawana lolote
Kenya Jeshi lenu la majini halijawahi kununua vifaa vipya, yote hayo yameshatumika yamepakwa Rangi upya, Kenya mpo na meli moja kubwa, MV jasiri ambayo ni used mlinunua toka Spain, imezeeka sana INA ina zaidi ya miaka 25.Unaita hiyo Navy??? boti za kuvua samaki.... kwenu huko mna kitu kinaitwa Constabulary navy, sio aina ya navy inayoweza kupigana vita kama ya kwetu aina ya Littoral navy
Tazama video ya nini maana ya navy
Pia pitia hapa ujifunze nini tofauti kabla haujaibika zaidi defenceweb.co.za/resources/fact-files/fact-file-ranking-african-navies/
Ndio hiyo, umeona Amphibious tanks hizo?Hehehe hii si ndio ile video mlikua mnapiga minazi mabomu....