Kuna maandishi yanapita pale chini Azam sport 2 "Kocha msaidizi Simba Masoud Juma akalia kuti kavu Simba".
Wasije wakatuharibia tu timu yetu,inaonekana washapanga kumfukuza Masoud
Mkuu Natumai timu itaendelea na munkariMkuu habari za Djuma ziache kama zilivyo, viongozi ndo wanajua zaidi ndo maana tumewapa dhamana.
Tushangilie tu Simba, hakuna kitakachoharibika, SimbaNguvuMoja
Haya bhana! labda ulikuwa mdogo miaka ile wakati kina Thomas Kipese, saidi mwamba, steven names, yusuph macho wakitoka yanga na kuja kuwasaidia simba ktk vipindi tofauti!Simba ni Taifa Kubwa. Mchezaji wa kiwango kwenu Mbute FC, kwa Simba ni kawaida sana kama wengine tu
Ndo maana mchezaji anayekaa benchi Simba, akienda Mbute anakuwa star kikosi cha kwanza..Kama Ajibu, This Is Simba
Mbona Ajibu ni fundi kuliko hata kichuya wenu anayeanza kikosi cha kwanza thimba, mpaka msemaji wenu manara anashangaa kwanini Ajibu haitwi timu ya taifa ?Simba ni Taifa Kubwa. Mchezaji wa kiwango kwenu Mbute FC, kwa Simba ni kawaida sana kama wengine tu
Ndo maana mchezaji anayekaa benchi Simba, akienda Mbute anakuwa star kikosi cha kwanza..Kama Ajibu, This Is Simba
Ngapi ngapi mkuuKihalali mpaka muda Simba ingetakiwa tayari ubao unasoma 4-0
Simba 1-0 LyonNgapi ngapi mkuu
poa poa mkuu endelea kunipa update hii mechi leo imenipitaSimba 1-0 Lyon