TPL: Simba SC vs African Lyon - October 6, 2018

Manura TZ sweetheart.... Kakolanya Tanzania one...mita 40 unafungwaje..Amunike ameona
 
Lile goli la A. Lyon sio mchezooo. Mbumbumbu hamna kipa pale lile ni tambala au karogwaaa?
 
Shunie ,naomba matokeo ya mwisho mkuu
Matokeo vipi mkuu?
Lile goli la A. Lyon sio mchezooo. Mbumbumbu hamna kipa pale lile ni tambala au karogwaaa?
Manura TZ sweetheart.... Kakolanya Tanzania one...mita 40 unafungwaje..Amunike ameona
Matokeo ya mwisho yamekuwaje??
Wamelogwa
Simba ngapi huko wakuu?
Ngap ngap now
Goal waliloshinda A lyon unaombea mkopo World bank na unapewa bila shida
Duh hkn matokeo ya mwisho ktk post zote hz
 
Back
Top Bottom