TPL: Simba SC vs Alliance FC - October, 24.

Jeshi la Aussems linampa kila Kiume kushika silaha. Kazi kwako Adam Salamba..Lunyasi wapo nawe onyesha kuwa mpira ni fani yako SimbaNguvuMoja
 

Attachments

  • IMG_20181024_160642_468.jpeg
    60.1 KB · Views: 22
Kila La Kheri Mnyama Mkalii [emoji91][emoji91][emoji91]

Simba Sports Club...
Chama La Dunia Nzmaa..
 
Jeshi la Aussems linampa kila Kiume kushika silaha. Kazi kwako Adam Salamba..Lunyasi wapo nawe onyesha kuwa mpira ni fani yako SimbaNguvuMoja
Kikosi kipana!yanayotaka kufanyika ni mauaji ya kimbali,katimu kamewekewa forward 3 zenye njaa kali
 

Hii ligi hata haieleweki yanga alianza na Alliance Simba akafuatia na Stand United. Simba katoka kucheza juzi leo anacheza tena kwenda game ya 9 wakati Yanga tupo pale pale na Game zetu 7. Kwanini tusianze sisi then ndio simba acheze.

Hii TFF wawe makini tatizo la match fixing halitaisha au wana mkataba na makubaliano na watu wa betting?
 
Simba Leo wamebadirisha kikosi kapombe.shabala.kagere.kichuya.mkude.nyoni wote wako nje mkude hajawa fit na nyoni sababu ya kadi
 
Unajitoa fahamu unaamua kuishabikia Alliance FC huku ukijua hawezi kufanya chochote kwa Simba SC kwa vile tu Mnyama anakupa wakati mgumu

Matokeo yake unapata pressure halafu Unakufa[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…