sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Tanzania Premier League (TPL) inaendelea tena leo ambapo kutakua na mtanange wa kukata na shoka katika dimba la Taifa. Katika mechi hii Bingwa Mtetezi Simba SC anawakaribisha Stand United.
Simba SC inaingia katika mechi hii ikiwa na 'mzuka' wa kutosha, na hii ni baada ya mwekezaji wake Mkuu, 'Bilionea Kijana' Mo Dewji kupatikana. Stand United nao wanaingia wakiwa na uhitaji sana wa point 3.
Katika mechi ya leo.. Simba SC atawakosa Jonas Mkude na Erasto Nyoni.. Huku 'beki kisiki' Juuko Murshid na Ndemla wakirejea katika 1st eleven.
Full Time: Simba SC 3-0 Stand United