TPL: Simba SC vs Stand United - October, 21.

TPL: Simba SC vs Stand United - October, 21.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Tanzania Premier League (TPL) inaendelea tena leo ambapo kutakua na mtanange wa kukata na shoka katika dimba la Taifa. Katika mechi hii Bingwa Mtetezi Simba SC anawakaribisha Stand United.
Simba SC inaingia katika mechi hii ikiwa na 'mzuka' wa kutosha, na hii ni baada ya mwekezaji wake Mkuu, 'Bilionea Kijana' Mo Dewji kupatikana. Stand United nao wanaingia wakiwa na uhitaji sana wa point 3.
Katika mechi ya leo.. Simba SC atawakosa Jonas Mkude na Erasto Nyoni.. Huku 'beki kisiki' Juuko Murshid na Ndemla wakirejea katika 1st eleven.


Full Time: Simba SC 3-0 Stand United
 
Mechi hii inatarajiwa kuanza saa 10 kamili. Pia Mo Dewji atakuwepo uwanjani leo kumshuhudia Mnyama anavyowatafuna wapiga debe wa Stand ya Shinyanga.
 
Kwa upande wa Simba SC, Hassan Dilunga anarejea leo baada ya kua majeruhi kwa wiki kadhaa.
 
Nawatakia kila la kheri katika mechi yenu ya leo. Stand ni timu nzuri ila uwezo wa kuwazuia ni mdogo sana.

Kuweni makini sana Msiwe na overconfidence kisa Mwekezaji karudi hao mnaocheza nao hawatabiriki. Hii inaweza kuwa tricky game kwenu
 
Kosi la maangamizi la Simba SC.
IMG-20181021-WA0013.jpeg
 
Katika mechi ya leo.. Simba SC atawakosa Jonas Mkude na Erasto Nyoni.. Huku 'beki kisiki' Juuko Murshid na Ndemla wakirejea katika 1st eleven.
 
Back
Top Bottom