TPL: Simba SC vs Stand United - October, 21.

TPL: Simba SC vs Stand United - October, 21.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saa hizi wanapita kimya utawaona wakiquote pale Simba ikipata bao.

Ila Nakazia kauli yako. Leo wanalo.
Wanachungulia na kutoka, nawasubiri, najua wakiona goli watani quote sana. [emoji41] [emoji41]
 
Hahahaa. Kama kawaida tunawarusha roho kidogo Dada.

Si wajua tena utani wa jadi yaani ni mwendo wa kuombeana njaa tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha adui yako muombee njaaa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
IMG-20181001-WA0000.jpg
 
Wouzeeer wouzeeeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom