The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Anachezesha nini?Dada anachezesha vizuri
Simba wanakata viuno tuNaona hii mechi inaweza kuisha kwa draw.
Simba inabidi ibadilike inacheza vizuri ila haifungi, inakera.
Hupande wa Yanga simba hawa oni golikwa upande upi
Simba 0- 0 Yanga dkk 79Matokeo jamani
Dakika ya 82Jamani naombeni muda
Dakika ya 82
Mikia 0 Yanga 0
Vipi ashaliwa?Wouzeeeeerrr wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] mnyamaaaaa
Acha mihemko unakuwa Kama hajiWouzeeeeerrr wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] mnyamaaaaa
Kamoja ingapendeza zaidi, ili simba warudi Uturuki kutaliiMungu ibariki Yanga kamoja tu kanatosha au 0 - 0 we have nothing to lose. Wao watapoteza 7 sisi 2.