TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Unampomkosa mtu magoli mengi kiasi hiki, kuna chance kubwa yy akipata moja atakuumiza
 
Naona hii mechi inaweza kuisha kwa draw.

Simba inabidi ibadilike inacheza vizuri ila haifungi, inakera.
 
kila la heri chama langu
yangasc-20180930-0003.jpg
 
Wouzeeeeerrr wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] mnyamaaaaa
 
Back
Top Bottom