Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Haiwezekani washamba Simba watupite nafasi yetu kwenye ligi lazima tuendelee kuwakaliaMtawafunga SAA ngap
Mbeleko Fc kwa kupenda kulalamika hamjambo.Simba haijapewa red? Huyo mwamuz vip?
Mmeanza kuwa wapole naona mnashindwa kutumia uwanja wa nyumbaniHakuna uimara wowote.. Basi tu
Vipindi vya michezo kwenye runingaMtawafunga SAA ngap
Mnakalia niniHaiwezekani washamba Simba watupite nafasi yetu kwenye ligi lazima tuendelee kuwakalia
Kikosi cha Bilioni moja teh teh teh kwani Simba Sasa hivi mpo nafasi ya ngapi,halafu mtatoaje droo uwanja wa Nyumbani?Ndala huyu Mganga wenu msimuache.. Atawasaidia angalau mmalize ligi mkiwa wa 5
Mkuu imeniuma sana,nini hiiNdala huyu Mganga wenu msimuache.. Atawasaidia angalau mmalize ligi mkiwa wa 5
Tuna golikipa mzuri anayejua kazi yakeMan of the match kipa wa yanga sc