TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

6D349D7D-E766-4CFA-825B-4E5768487C38.jpeg


Mshaanza Mapema. Tatizo la simba ni uzalendo. Timu ikifanya vizuri ni ya wote ikifanya vibaya ni ya Mo na wenzie. Igeni mfano wa Yanga tupo na timu yetu through thick and thin. Mpaka tuliamua kujinyima ili timu ifanikiwe.

Mlitucheka ila sisi tuliwacheka zaidi. Mliloliita bakuli lilijenga umoja na mshikamano juu yetu. Nyinyi Matajiri kutwa kupigana vijembe mitandaoni.

Ila “Mtafika tu” by sembo
 
Yanga mganga wenu.. .[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa niaba ya mganga wa simba aliyetabiri ushindi
 
Back
Top Bottom