Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,643
Nakusikiliza sasa ndugu yanguMkuu Ndala akubali, akatae.. Kipigo kipo pale pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusikiliza sasa ndugu yanguMkuu Ndala akubali, akatae.. Kipigo kipo pale pale.
Hongera kwa ushindi wa kishindoSina wasi wasi na Simba naamini itaibuka na ushindi wa kishindo.
Mkuu imeniuma sana,nini hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na bado!Mkuu hata mimi sielewi kabisa tumewakosaje hawa?? Hapa nipo naomboleza matokeo ya leo.
Nyie mganga wenu alisemajeWitchcraft is for real aisee,
Game inaanza yanga wanatoa mpira nje makusudi (masharti ya mganga)
Lione hili,Yanga ilikuwepo mule uwanjani? Mi nilikuwa namsikia Kakolanya tuMkuu usiumie,kwani ulikuwa unaamini Kwa ule uwezo wenu mngemfunga yanga?
Simba hakuwa na uwezo wa kushinda Leo Yanga tulikuwa vizuri kwenye kuhakikisha hatupotezi mechiMkuu, yamekuwa hayo tena?
Huu mchezo ilikuwa Simba alale 2 bila.
Kamoja kanatoka wap
Walienda kutalii tu hao
Mchawi anamjua mchawi mwenzieNdala huyu Mganga wenu msimuache.. Atawasaidia angalau mmalize ligi mkiwa wa 5
Kwan kakolanya ni wa simba?Lione hili,Yanga ilikuwepo mule uwanjani? Mi nilikuwa namsikia Kakolanya tu
Alikuwa ana bleed aiseeMke wa mbao fc leo tumemkosa kosa sana
Hili ni soka acha kunitoa ufahamuThis is unfair draw... Simba wamekuaje leo? Huyo mganga Wa yanga kiboko...dah aisee uchawi upo!
Huyo Kakolanya mmoja tu mmeshindwa kumfunga je tungeingiza wachezaji kumi ?Lione hili,Yanga ilikuwepo mule uwanjani? Mi nilikuwa namsikia Kakolanya tu