Ameishia kurukaruka tuuYule mchimba chumvi wa kuitwa MK14 leo katupia ngap???
Mkuu ngapi ngapi?Update ya kuhusu kikosi cha kwanza cha Ndala
Naona Zahera kashinda.. Kindoki anaanza golini leo.
Sasa natamka rasmi.. Ndala anakula si chini ya goli 7.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi akupe 0713Nakusikiliza sasa ndugu yangu
Unataka useme Simba wameshindwa kumfunga Kakolanya?Leo ilikua ni Simba vs Benno
Simba inashindwa kumfunga mchezaji mmoja?Beno 0
Simba 0
Ana bahati sana mke wa mbaoAlikuwa ana bleed aisee
Wewe ni kizazi chips kabisaLione hili,Yanga ilikuwepo mule uwanjani? Mi nilikuwa namsikia Kakolanya tu
Aiseee umeongea la maana sana,lazima nimbandueInabidi akupe 0713
Wakikuambia idadi, ntakurushia 10000Yule mchimba chumvi wa kuitwa MK14 leo katupia ngap???
Mbao anaongoza kwa point 14 yanga wa pl 13jamani mzimamo wa ligi upoje mpaka sasa huko?
Msimam nimewek apo mkuujamani mzimamo wa ligi upoje mpaka sasa huko?
Simba wakikujibu unitagjamani mzimamo wa ligi upoje mpaka sasa huko?
Benno yuko Simba eeh mtani?Leo ilikua ni Simba vs Benno