Kombe la Dunia 2018 lilichezwa lini hadi lini? Yanayoitwa mashindano ya Klabu Bingwa Africa ya Mashariki na Kati ya huyo Musonye wako ambayo Azam alitwaa ubingwa yalichezwa lini hadi lini? Wewe ndiye unajua sana kuhusu hilo, kwaheri Mjuaji!
MatokeooyashageuzzwaHivi kuanza Mpira na kupiga nje ina maana gani et?
We maandazi Chelsea alishawahi kubeba ubingwa kwa staili ile....pia alimwondoa barcelona uefa kwa staili ile....ile inaitwa anti-football watu mnaukataa mpira mnawaachia wengine wacheze nyie kazi yenu kuvizia tu....watarukaruruka yaan mtapiga hata mashuti milioni lkn hamtafunga maisha...halafu mwisho wa siku Yanga atabeba ndoo na ile squad yake unayoiona mbovu...time will tellAlafu wanategemea kuongoza ligi kwa mpira ule huwezi jua kipa yupi, beki ni yupi, kiungo wala forward wote wapo golini muda wote
Ndoo ya maji, au?We maandazi Chelsea alishawahi kubeba ubingwa kwa staili ile....pia alimwondoa barcelona uefa kwa staili ile....ile inaitwa anti-football watu mnaukataa mpira mnawaachia wengine wacheze nyie kazi yenu kuvizia tu....watarukaruruka yaan mtapiga hata mashuti milioni lkn hamtafunga maisha...halafu mwisho wa siku Yanga atabeba ndoo na ile squad yake unayoiona mbovu...time will tell
Ulitaka wajae kwenye goli lenu? Nyie mliocheza vizuri mmepata magoli mangapi?Alafu wanategemea kuongoza ligi kwa mpira ule huwezi jua kipa yupi, beki ni yupi, kiungo wala forward wote wapo golini muda wote
Kabisa Timu ya Simba maneno mengi vitendo sifuri,na watatoa sana droo mwaka huu,Yanga Timu ya wananchi mbele Kwa mbelehaha timu tatu za mwanzo Yanga, Mtibwa na Mbao zinagombania ubingwa ...kuanzia timu ya nne Simba, Lipuli ,Alliance na nyingine zinapambana zisishuke daraja
Sasa kama uchawi ni mtaji na nyie si muuze wachezaji mnunue uchawi?Ndio uchawi wenyewe huo
Washirikina utawajua tu!!!Mara hii tu mganga mmeshamsahau?mpeni pongezi mganga
Na hamtakuja Simba Muongoze ligi ya TPL,hivi una habari toka ligi ya TPL ianze Yanga hajafungwa hata mechi moja?Mnaongoza ligi ya kuombaomba siyo hii ya TPL
Jibu unalo
Uzeni Kagere,uzeni okwi,Uzeni kocha,mkanunue uchawiNaona waganga wa Moro wamewapa kiburi. Sawa.
Huyu ndio aliyewatia mkosi simbaNamuona Ninja kwa mbali