Kwa tambo hizi inaonekana baada ya mechi 2 mtatangazwa mabingwaHahahaaa. Kama Okwi.
Hii ndio shida ya Simba. Inatakiwa watambie vile vitimu vilivyopanda daraja msimu huu na si kwa Yanga ambayo kila wakikutana nayo lazma iwapovushe. [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππ hatariii
Kwanini sasa wakati mnasemaga kikosi chenu kipana?
Hawawezi kuelewa ata kidogo mama Samsung.Hahahaaa. Wakikujib nitag Mr Tecno.
Ila nacheka sana post za kwenye huu uzi leo.
Mna bahati sana Mtani.. January, 2019 kutakua na kombe la Muungano. Naamini hamtatukimbia.Pole Mtani wangu.
Ila ndio mjue game na Yanga si ya kuitabiria yaani yapasa game ikishapita ndio mnaaza kutamba nje ya hapo mtabaki kutokuamini kila siku.
πππππ sitaki mieee. DuuhSimba bwanaView attachment 882697
Hahahaaa. Leo sisi ndio tuna tambo. Duuh.Kwa tambo hizi inaonekana baada ya mechi 2 mtatangazwa mabingwa
Na bundi ndo kashatua Simba tusubiri timbwili la uchaguzi,mwaka huu wasipomaliza wa Saba kwenye ligi sijui itakuaje,naiona nafasi ya Saba ileeeee inawanyemelea Simba
Hahahaaa. Kazi wanayo basi.Hawawezi kuelewa ata kidogo mama Samsung.
Hahahaaaa. Na baada ya kutoa ule mpira nje ndio akawapagawisha hatari.
Mbinu tu ile na pia alijua Mikia wengi wenu mnaamini shirk hivyo akajua mngeamini tu hiyo kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Lazima mkatae kauli zenu tu Mkuu.Kikosi kipana na kutofanikiwa kushinda kuna uhusiano gani
Aisee naona mtani unafuraha sana huamini kama timu yako imenusurika na kichapo sipati picha jana ulivyokuwa ukiomba mpira uishe
Hahaaa. Ndio uwaeleweshe na wenzio Mkuu sababu lile tukio wengi wamelihitimisha kuwa ni ushirikina.Sio kutoa mpira, Ile ilikuwa woga tu. Niliona Ajib anasifiwa sana humu eti atakamata kiungo, leo ndio tumejua kwanini alikimbia Simba, angecheza namba ya nani pale.
Mmmh. Kama kweli vileee Mtani.Jana Yanga waliona mchezo umechezwa masaa matano. Hakuna mchezaji wa Yanga aliyevua viatu wakati wa kulala.
Mahaba niue...........Mechi yenu mgemi rasmi muwekeni Mwigulu.
Hahahaaaa. Kwa zile tambo zenu lazima tufurahi tu kwa kweli.Aisee naona mtani unafuraha sana huamini kama timu yako imenusurika na kichapo sipati picha jana ulivyokuwa ukiomba mpira uishe
Noma sana aseeHahahaaa. Kazi wanayo basi.
Ila tuwaambie tu wapunguzage tambo hasa pale wanapotaka kucheza na Yanga.
Pale mchawi Zahera tu. [emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Ndio na nyie muufanyage sasa ili twende sawa Mtani.
Stamili au Salim Mbonde? Huyu chalii nilisoma nae primary!Wanaongoza kwa kufunga magoli mpaka sasa.
1. MK14 (Simba SC) - 4
2. Eliud Ambokile (Mbeya City) - 4
3. Alex Kitenge (Stand United) - 3
4. Stamili Mbonde (Mtibwa Sugar) - 3
5. Bigirimana Blaise (Stand United) - 3
Nilichogundua kwenye hii orodha ni;
Kama yule jamaa aliyewafunga Ndala goli 3 hajawahi kufunga tena.. Sasa yule MK14 ambae hashikiki katika upachikaji magoli atawafanya nini hawa Ndala?
Sent using Jamii Forums mobile app