TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Jana Yanga waliona mchezo umechezwa masaa matano. Hakuna mchezaji wa Yanga aliyevua viatu wakati wa kulala.
Hahahaha walipata tabu itakuwa walikuwa wanajiuliza tunacheza na SIMBA au BARCA maana ni kila sekunde kila dakika watu waja tu mkuu yani wamenusurika vibaya mnoo
 
Mganga wa Yanga yuko vizuri. Wachezaji wa Yanga walifuata maelekezo. Mpira unaanza tu mchezaji wa Yanga akapiga mpira nje, usiguswe na mtu.
Yaani sharti lilikuwa, mara baada ya mechi kuanza kama wataanza wao Yanga eidha kipindi cha kwanza au cha pili basi mchezaji wa pili kuugusa mpira awe wa Simba. Hapo ndio Simba walipoingizwa maboya. Sina imani na hivi vitu ila mpinzani wangu akiwa na imani na hivi vitu nitavitumia kumvuruga saikolojia yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walitaka kuigeuza yanga shamba la kuchumia point la sasa wamegeuzwa wao shamba la kugawania point
Ila post za Watani zangu zinanichekesha duuuh.

Mchawi zahera tu pale. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jana simba wote walikua wanaamini uchawi
 
Ndio hapo sasa rafiki.

Hahahaaaa. Inashangaza sana japo najiuliza kama ni kweli kwa nini na wao hawakuufanya ili twende sawa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
U Umeiona clip ya mtu wa Simba akimwaga vitu uwanjani?
Ya nini kutumia ma billion kusajili kama uchawi unalipa?
Baada ya Boko sasa ilikuwa zamu ya Kotei kutembeza ngumi.
From Mbumbumbu FC to Mwakinyo FC
 
Timu ya billioni ikashindwa ifunga timu ya million aiseee
Ndio hapo sasa rafiki.

Hahahaaaa. Inashangaza sana japo najiuliza kama ni kweli kwa nini na wao hawakuufanya ili twende sawa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio kutoa mpira, Ile ilikuwa woga tu. Niliona Ajib anasifiwa sana humu eti atakamata kiungo, leo ndio tumejua kwanini alikimbia Simba, angecheza namba ya nani pale.
Sanchez kaondoka aseno akiwa top scorer je pale united anacheza namba ya nan
 
Mwakinyo Fc ni sawa na chizi alieondoka kwenda mbali kwa mda mrefu alafu mwisho wa siku anarudi nyumban na makopo
 
Hahahaaaa. Kwa zile tambo zenu lazima tufurahi tu kwa kweli.

Huwezi amini tena niliona muda umekwenda haraka. 😜😜
hahahaha muda umeenda haraka wapi wakati roho ilikuwa mkononi yani jana hata wale mashabiki wa yanga wasiomjua Mungu walimwomba awanusuru na lile gharika
 
U
Umeiona clip ya mtu wa Simba akimwaga vitu uwanjani?
Ya nini kutumia ma billion kusajili kama uchawi unalipa?
Baada ya Boko sasa ilikuwa zamu ya Kotei kutembeza ngumi.
From Mbumbumbu FC to Mwakinyo FC
Kama Yanga nao wana imani za kishirikina basi dawa ninkucheza na saikolojia yao pia.
 
Ila kiukweli imefikia hatua Yanga imekuwa ndogo. Droo ya jana imekiwa kama ushindi wakati kwa Simba imekuwa kama kufungwa.
Ndio na hii imesababishwa na sifa za mikia hasa pale wanatamba kwamba kikosi cha ni cha mabilioni na kilicho kipana ila yanga ina kikosi cha kuunga unga.

Lazima iwe kama ushindi maana tambo zilikuwa nyingi mnooo mwisho wa siku inabaki kusingizia uchawi. Teh teh teh
 
Ila kiukweli imefikia hatua Yanga imekuwa ndogo. Droo ya jana imekiwa kama ushindi wakati kwa Simba imekuwa kama kufungwa.
Yaan kweli kabisa, kwa ambaye anayejua mpira atakubali, ila kwa hawa washangiliaji usitarajie kukubali kilichotokea jana,, watu tumepeleka mapenzi mbeli ilhali mpira siku hizi azam live hakuna ile ya kusikiliza radio,,,
 
Huu ni mpambano wa jadi kwa hiyo ndo burudani yenyewe hiyo,,
 
Mwisho wa siku ni AIBU kwa Yanga leo wanapita mitaani vifua mbele kwa matokeo ya jana.
 
Hilo ni zee tu mkuu, halina pumzi mbele ya kijana mdogo Ninja. Pia Okwi ni zee pia limeenyeshwa na kijana mdogo under 17 Paul Godfrey. Timu yetu hiko poa, round ya pili tutawashangaza wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…