Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mie pia sijambo kaka.Mi mzima. Sijui wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie pia sijambo kaka.Mi mzima. Sijui wewe
Kheri. Nafurahi kusikia hivyo.Mie pia sijambo kaka.
Hutaki nini mtani 😂😂😂😂😂😂😂 sitaki mieee Mtani.
Sasa sisi na nyie nani anasikitisha Mtani? 😂😂😂😂Hutaki nini mtani 😂
😂😂😂😂Yamewasaidia kina nani?
Kwa haraka haraka ni nyieSasa sisi na nyie nani anasikitisha Mtani? 😂😂😂😂
Hahahaaa. Kiaje Mtani?Kwa haraka haraka ni nyie
Ina maana Musonye wa 2015 ni mwengine na huyu wa 2018 ni mwengine? Jitafakari.Tunazungumzia Kagame ya mwaka 2008 Jul. Ambapo Yanga waligomea mchezo na wakafungiwa miaka 3 na faini ya dola 35,000.
Sasa wapi nimetaja Kagame ya 2018?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Dada.
Eti Jikazeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 tuwazowee tu kwa kweli Dada.Dada akee jichekee tu watu wanafurahisha sana yaan jf ndio kuna mambo ya kupangiana ujue simu yako bundle lako bado unapangiwa
Kwani uongo sasa Hajar ?Hahahaaa. Wakikujib nitag.
Wanakaa kusingizia eti tumepaki Basi. 😂😂😂😂
Mngefungua zaidi muone, ila mganga wenu huyo! Lakini bora huyo hajawaambia mtafute viungo vya binadamu naona yeye aliwapa sharti la kupiga nje mpira wa kwanza mtakaoupata😀😀😀😂😂😂 ndio uongo. 😜😜😜
Basi gani hilo wakati golini mlifika.
Hivi Yanga imeshinda kwani au mimi ndio sijaelewa hapa!!?Hahahaaa. Lol
Hii ndio shida ya Simba. Inatakiwa watambie vile vitimu vilivyopanda daraja msimu huu na si kwa Yanga ambayo kila wakikutana nayo lazma iwapovushe. 😂😂😂