TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Mtani Hajar hivi wajua kazi aliyoifanya CLATOUS CHAMA nikazi iliyofanywa na mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE alipovikusanya vijiji vya ujamaa na kuviweka kuwa kijiji kimoja?
 
Mtani Hajar hivi wajua kazi aliyoifanya CLATOUS CHAMA nikazi iliyofanywa na mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE alipovikusanya vijiji vya ujamaa na kuviweka kuwa kijiji kimoja?
😂😂😂😂 najua haya ndio yaliyobakia Mtani wangu.

😂😂😂😂😂😂
 
Tunazungumzia Kagame ya mwaka 2008 Jul. Ambapo Yanga waligomea mchezo na wakafungiwa miaka 3 na faini ya dola 35,000.

Sasa wapi nimetaja Kagame ya 2018?
Ina maana Musonye wa 2015 ni mwengine na huyu wa 2018 ni mwengine? Jitafakari.
 
ukweli ni kuwa simba FC ina kikosi kibovu kabisaa ambacho hakijawahi tokea ndani ya miaka 10, washambuliaji butu, mbinu za kizamani, usajili mbovu na ndiyo maana hata jiwe aliwaambia mnakwenda kusindikiza mechi zenu zote kimataifaa!, nyambafuuu kabisaa!
 
Hahahaaa. Lol

Hii ndio shida ya Simba. Inatakiwa watambie vile vitimu vilivyopanda daraja msimu huu na si kwa Yanga ambayo kila wakikutana nayo lazma iwapovushe. 😂😂😂
Hivi Yanga imeshinda kwani au mimi ndio sijaelewa hapa!!?

Yaani Hajar hapo ni sare tu Yanga ni shangwe kila mahali! Kumbe mlikua mnaukubali mziki wa Msimbazi kimyakimya eeh?
 
Back
Top Bottom