Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Lile gharika siyo mwisho pale yani litamkuta kila anayekuja mbele ila nyinyi mmenusurika nalo kimiujiza ujizaAah. Wappii.
Ila gharika bila matokeo ni sawa na bure mtani. πππ
Hahahaaa. Hivyo Kaka haya tunayoyasikia kutoka kwenu tangu jana pia tuiite burudani tu ya watani wa jadi?Huu ni mpambano wa jadi kwa hiyo ndo burudani yenyewe hiyo,,
Hahahaa. Aibu kwa Yanga kiaje sasa Mkuu?Mwisho wa siku ni AIBU kwa Yanga leo wanapita mitaani vifua mbele kwa matokeo ya jana.
Hahahaaaa. Nasubiri nione Mtani.Lile gharika siyo mwisho pale yani litamkuta kila anayekuja mbele ila nyinyi mmenusurika nalo kimiujiza ujiza
Wapi wanajangwani wenzangu
Southern Highland , Prince Kunta, Numbisa, Songa Heri , wamaukweli , zeshchriss , Zamaulid , Samboko , Beira Boy ,Mgagaa na Upwa, Frank Wanjiru , baba swalehe , Joseverest , Sibonike , DellaPina, Zero IQ, Super Sub Steve na wengine niliowasahau
Njooni tumkate mtu Mkia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante kushukuru Kaka. Halafu cha ajabu hadi yule mbwambwajaji wao naye anawaaminisha hivyo. Teh tehDada angu tuko pamoja nashukuru kwa kunikumbuka. Ila jana wameshindwa kupata matokeo waliyokuja nayo uwanjani wanaanza kusingizia ushirikina. Ili mradi tu wapate cha kuongea.
Saa 12 ntaku reply
Hahahaha wanasikitisha sanaMwisho wa siku ni AIBU kwa Yanga leo wanapita mitaani vifua mbele kwa matokeo ya jana.
Wape wape wape vidonge hivyo Kaka wakimeza wakitema shauri yao.
Huo ndio ukweli uliousema.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Mi siamini sana hizo iman,Ahsante kushukuru Kaka. Halafu cha ajabu hadi yule mbwambwajaji wao naye anawaaminisha hivyo. Teh teh
Nawaza kama ni ishirikina kama wanavyisema wao walishindwa vipi kuufanya ili waweze kwenda na sisi sawa?
Ahsante kushukuru Kaka. Halafu cha ajabu hadi yule mbwambwajaji wao naye anawaaminisha hivyo. Teh teh
Nawaza kama ni ishirikina kama wanavyisema wao walishindwa vipi kuufanya ili waweze kwenda na sisi sawa?
Safi sana Kaka. Kikubwa kuamini tu kwamba ndio mpira ulivyo tena kama mechi za watani wa jadi ndio huwa hazitabiriki kabisaa.Mi siamini sana hizo iman,
Hahaa. Nimecheka Mtani. Lol.Nipo nawaza hapa..
Hivi kama Simba SC tungepata nafasi ya kuanza mpira.. Si kazi ndo ingekua ishaisha??
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ dooohhNa bado Utawaza sana msimu huu
ππππππ sitaki mieee Mtani.Hahahaha wanasikitisha sana
Kabisaaa na wavimeze kama vyote kwa kweli Kaka. πππWanavipata kama vyote.
Hujaelewa, point yangu ni kuwa ilikuwa sawa Ajib kuondoka Simba maana jana alifunikwa na top notch midfielders wa SimbaSanchez kaondoka aseno akiwa top scorer je pale united anacheza namba ya nan
Hahahaaa. Anatafuta huruma ya mashabiki sio bure.Ni akili za kiafrica pekee ndio wanaoamini haya mambo. Msemaji amekosa cha kujieleza anatafuta pa kupumulia akaona hiyo ndio sababu.
Mi mzima. Sijui weweHahahaaa. Anatafuta huruma ya mashabiki sio bure.
Mzima lakini?