nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
sawa mkuuSaa 11 kamili.. Bado nusu saa ianze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuuSaa 11 kamili.. Bado nusu saa ianze.
duh!Wako wanafanya mazoezi ya kung'oa viti
KumbeeeSaa 11 kamili.. Bado nusu saa ianze.
Nimefika mamy ngoja tuwanyooshe hawa masharubu FcWapi wanajangwani wenzangu
Southern Highland , Prince Kunta, Numbisa, Songa Heri , wamaukweli , zeshchriss , Zamaulid , Samboko , Beira Boy ,Mgagaa na Upwa, Frank Wanjiru , baba swalehe , Joseverest , Sibonike , DellaPina, Zero IQ, Super Sub Steve na wengine niliowasahau
Njooni tumkate mtu Mkia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uhondo ni ushindi mkuuHii mechi isikie kwenye redio tu jinsi inavyopambwa, ila uhalisia haina ufundi wa uhondo wowote
ukipata nitag mkuuNaombeni link kuweza kuona mechi nje ya Tanzania
Nipo hapa uwanjani kwa mchina mapema tuWapi wanajangwani wenzangu
Southern Highland , Prince Kunta, Numbisa, Songa Heri , wamaukweli , zeshchriss , Zamaulid , Samboko , Beira Boy ,Mgagaa na Upwa, Frank Wanjiru , baba swalehe , Joseverest , Sibonike , DellaPina, Zero IQ, Super Sub Steve na wengine niliowasahau
Njooni tumkate mtu Mkia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee kajole nae Yanga damuWapi wanajangwani wenzangu
Southern Highland , Prince Kunta, Numbisa, Songa Heri , wamaukweli , zeshchriss , Zamaulid , Samboko , Beira Boy ,Mgagaa na Upwa, Frank Wanjiru , baba swalehe , Joseverest , Sibonike , DellaPina, Zero IQ, Super Sub Steve na wengine niliowasahau
Njooni tumkate mtu Mkia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuihusisha Simba na watu wa ajabuSimba leo lazima uone kizunguzungu na Ndugai wenu