Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Performance Ya Yanga Iko Chini SanaSimba ikiendelea hivi inashinda hii mechi...Yanga naona wanaruka ruka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Performance Ya Yanga Iko Chini SanaSimba ikiendelea hivi inashinda hii mechi...Yanga naona wanaruka ruka tu.
Utadhani wapo kwenye maji[emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida ya vyura
Simba ikiendelea hivi inashinda hii mechi...Yanga naona wanaruka ruka tu.
Wenzao waliopo huku wawajuze next time waache kurukarukaUtadhani wapo kwenye maji[emoji23][emoji23][emoji23]
Kina nani walifungwaWanabebwa. Goli la wazi kabisa. Haya tunaendelea
Simba wanakufa hii mechi wait and seeSimba ikiendelea hivi inashinda hii mechi...Yanga naona wanaruka ruka tu.
Vyura kuruka ruka ni jadi yao..Simba ikiendelea hivi inashinda hii mechi...Yanga naona wanaruka ruka tu.
Na ndiyo watakaoshindaPerformance Ya Yanga Iko Chini Sana
nyie msiorukaruka mna magoli mangapi mpaka sasa kwenye hii mechi naomben updates nipo pori hukuVyura kuruka ruka ni jadi yao..
Sana aisePerformance Ya Yanga Iko Chini Sana
Ndipo walipoishia, maana hicho ni kikosi cha kwanzaPerformance Ya Yanga Iko Chini Sana
Simba msipopata goli kipindi cha kwanza msahau.kupata goli kipindi cha piliVyura kuruka ruka ni jadi yao..
Yanga yapata pigo baada ya walinzi wa Uwanja kuwakamata waganga waliokuwa wanaruka ukuta ili kuloga dimba usiku wa mananeHatimaye 30/09/2018 imefika. Leo ni siku ambayo ilikua ikisubiriwa kwa hamu sana ambapo, Bingwa Mtetezi wa TPL, Simba SC atamkaribisha Yanga SC katika dimba la Taifa Stadium.
Mechi hii inatarajiwa kuanza mnamo saa 11 kamili.
Update 1.
Jeshi La Maangamizo la Simba SC
Kikosi Cha Kwanza
1. Aishi Manila
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Pascal Wawa
6. James Kotei
7. Jonas Mkude
8. Clatous Chama
9. Meddie Kagere
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Kichuya
Kikosi Cha Akiba
1. Deogratius Munishi
2. Paul Bukaba
3. Asante Kwasi
4. Said Ndemla
5. Mo Ibrahim
6. Adam Salamba
Update 2.
Kikos cha Yanga SC
1. Benno Kakolanya
2. Paul Godfrey
3. Gadiel Michael
4. Vicent Andrew 'Dante'
5. Kelvin Yondani (C)
6. Feisal Salum 'Fei toto'
7. Deus Kaseke
8. Papy Tshishimbi
9. Herietier Makambo
10. Ibrahim Ajibu
11. Mrisho Ngasa
Sent using Jamii Forums mobile app