Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Hii game hii mhhh. Simba watapata sana la kusema baadae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mshapata naonaSimba naona mnatumia pumzi yote kipindi cha kwanza Bila kupata goli lolote
Mkuu nakuhakikishia hii mechi hampati goliMechi yetu hii mkuu, tunaamua sisi tushinde muda gani. Worry out
Mjiandae kisaikolojiaSawa mganga
ahahahha simba waliokula naona miguu imekuwa mizito kama wameshina magunia ya magimbiYanga ni kama hawajala leo!
Tupo hapa na mechi ni yetuMjiandae kisaikolojia
Mjiandae kisaikolojia hatutaki watani zetu mfe kisa mechi,kuna maisha baada ya mechi.Zikiisha 45 za kwanza hamjapata goli Basi mjue ndo mwishoSawa mganga
Mbona ni kama unaongelea defensive sana? Ina maana anayestahili kupata magoli ni Simba tu, lakini Yanga hata asipopata hakuna shida yoyote?Mkuu nakuhakikishia hii mechi hampati goli
Teh teh tehNyie mshapata naona
Mnashindwa nini kuwafunga au hata simba hawajala?Yanga ni kama hawajala leo!
[emoji16][emoji16][emoji57][emoji57][emoji57]
Usiwe na hofu mechi ya Yanga hiiNa kuna kila dalili tukacheza pungufu
Yanga wamejaa nyuma kulinda goli ambalo hawana!Mnashindwa nini kuwafunga au hata simba hawajala?
Teh teh teh baeleze waeleweahahahha simba waliokula naona miguu imekuwa mizito kama wameshina magunia ya magimbi
Siye tunaongoza ligi mkuu umesahau hiloMbona ni kama unaongelea defensive sana? Ina maana anayestahili kupata magoli ni Simba tu, lakini Yanga hata asipopata hakuna shida yoyote?