K kaaa Member Joined Oct 9, 2011 Posts 35 Reaction score 4 Mar 15, 2012 #1 Mwenye taarifa za Tropical Pesticide Research Institute (TPRI) nafasi za mwezi December mwaka jana!
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Mar 15, 2012 #2 Walishafanya interview tangu tarehe 01/03/2012.
K kaaa Member Joined Oct 9, 2011 Posts 35 Reaction score 4 Mar 15, 2012 Thread starter #3 Kinyungu said: Walishafanya interview tangu tarehe 01/03/2012. Click to expand... Nashukuru mdau Kinyungu kwa taarifa!
Kinyungu said: Walishafanya interview tangu tarehe 01/03/2012. Click to expand... Nashukuru mdau Kinyungu kwa taarifa!
kalanga Member Joined Feb 2, 2011 Posts 79 Reaction score 69 Mar 15, 2012 #4 kaaa said: Mwenye taarifa za Tropical Pesticide Research Institute (TPRI) nafasi za mwezi December mwaka jana! Click to expand... mkuu wale wasanii sana.walikuwa na kijana wao pale mtoto wa bosi ndio wamemuweka.wala tangaza nafasi na kufanya interview kama protocol au demokrasia.
kaaa said: Mwenye taarifa za Tropical Pesticide Research Institute (TPRI) nafasi za mwezi December mwaka jana! Click to expand... mkuu wale wasanii sana.walikuwa na kijana wao pale mtoto wa bosi ndio wamemuweka.wala tangaza nafasi na kufanya interview kama protocol au demokrasia.
K kaaa Member Joined Oct 9, 2011 Posts 35 Reaction score 4 Mar 15, 2012 Thread starter #5 kalanga said: mkuu wale wasanii sana.walikuwa na kijana wao pale mtoto wa bosi ndio wamemuweka.wala tangaza nafasi na kufanya interview kama protocol au demokrasia. Click to expand... Mzee mbona sijakuelewa, kijana wao wakati wametangaza nafasi nyingi sana.Ungeniambia vijana wao ningepata picha!
kalanga said: mkuu wale wasanii sana.walikuwa na kijana wao pale mtoto wa bosi ndio wamemuweka.wala tangaza nafasi na kufanya interview kama protocol au demokrasia. Click to expand... Mzee mbona sijakuelewa, kijana wao wakati wametangaza nafasi nyingi sana.Ungeniambia vijana wao ningepata picha!