TPRI wameshaita watu?

TPRI wameshaita watu?

kaaa

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
35
Reaction score
4
Mwenye taarifa za Tropical Pesticide Research Institute (TPRI) nafasi za mwezi December mwaka jana!
 
Walishafanya interview tangu tarehe 01/03/2012.
 
Mwenye taarifa za Tropical Pesticide Research Institute (TPRI) nafasi za mwezi December mwaka jana!

mkuu wale wasanii sana.walikuwa na kijana wao pale mtoto wa bosi ndio wamemuweka.wala tangaza nafasi na kufanya interview kama protocol au demokrasia.
 
Mzee mbona sijakuelewa, kijana wao wakati wametangaza nafasi nyingi sana.Ungeniambia vijana wao ningepata picha!
 
Back
Top Bottom