Nikweli umenenaHabarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.
Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral
iNa kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.
Shukran.
Uzi mzuri sanaaa.. NimesubscribeHabarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.
Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.
Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.
Shukran.
Mungu yupo kama amekuandikia upate utapata hata kama huna Connection.. Japo ulichocomment ndo uhalisia ulivyoKm huna connection utajichosha bure
Nenda wewe kama wewe ukajibu unachoulizwa.Habarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.
Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.
Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.
Shukran.
Km huna connection utajichosha bure
Mungu kwanza bro waliopo kwenye system sio wote waliingia kwa mfumo wa connection Mzee jiamini soma omba mungu kapambane subili majibuMungu yupo kama amekuandikia upate utapata hata kama huna Connection.. Japo ulichocomment ndo uhalisia ulivyo
Mwenye bahat habahatishiKm huna connection utajichosha bure
KabisaKm huna connection utajichosha bure
Sio kwa ajira za TRA, kuna watu na pesa wametoa lakini wamekosa.!!Mungu yupo kama amekuandikia upate utapata hata kama huna Connection.. Japo ulichocomment ndo uhalisia ulivyo
Hapo katika office attendant lazima uwe na Cheti cha hiyo fani?Habarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.
Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.
Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.
Shukran.
Mfano mzuri uhamiaji watu walitoa pesa wameliwa na pia wamejaaa watoti wa wakurugenzi tu paleSio kwa ajira za TRA, kuna watu na pesa wametoa lakini wamekosa.!!
Sio TRA huko mnaitwa ili kupewa moyo kwamba ajira zinatolewa kwa wote ila kiuhalisia km huna connection hiyo bahati haipo..!!Mwenye bahat habahatishi
TRA hakuna bahati labda kwenye ualimu..!!Hakuna kukata tamaa Mkuu. Kama bahati ni yako utaipata tu.
Kibonge upoTRA hakuna bahati labda kwenye ualimu..!!