Navyoskiaga waajiriwa wapya huwa wanaanza na 1.8m before makato yoyote.Hivi TRA salary ni sh ngapi?
Kwa hizi entry level.
Mmhh naona unatupotosha aisee.Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-
View attachment 3234281
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
Fata Maelekezo kama yalivyotolewa.
Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-
View attachment 3234281
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
Fata Maelekezo kama yalivyotolewa.
embu soma tena mzee, wewe ndo usikurupuke au ngeli imekuja na meliKijana, soma vizuri maelezo pia ukiingia kwenye website yao angalia vizuri bila kukurupuka.
Maelezo yapo kwenye Home page kabisa pale kijana.
View attachment 3234462
Ni kweli mkuu naona inakuwa hivyo ata sijui tatizo kitu gani lakini haikai pale ina ondoka.Mkuu Habari,
Kwenye recruitment portal nikiandika TIN no. na kui-save, baada ya muda haionekani,
Hii Changamoto umekutana nayo? na way foward ni ipi? Shukran.
Changamoto sana kaka.Ni kweli mkuu naona inakuwa hivyo ata sijui tatizo kitu gani lakini haikai pale ina ondoka.
Mkuu tatizo kama hilo la kimfumo unafikir tuna njia gani nyingine zaid ya kutafuta solution kama hivi ya sisi job seekers kuulizana ufumbuzi kwa wenzetu pengine tutapata jibu sahihi le tatizo hilo kama tuache kujaza au laa, maana ukipiga sim hawapokei mtihani unaanzia hapo.Changamoto sana kaka.
Ulichukua hatua gani so far?
Kijana, soma vizuri maelezo pia ukiingia kwenye website yao angalia vizuri bila kukurupuka.
Maelezo yapo kwenye Home page kabisa pale kijana.
unarekebisha tu mkuuHivi kwa mfano ulikua ushaapply,ukaja ukafanya marekebisho pale pa qualifications ukafuta pote ukajaza upya details na kuweka vyeti upya, kuna madhara yoyote?
Weka tu kwenye PDF moja itakusaidia mbeleniWakuu msaada Kwa aliemaliza kuapply ni kwel Transcript tuna attach na cheti Cha chuo as a single pdf document wakat wa kuupload cheti Cha chuo?
Mkuu wewe ndo hujaelewa, Mimi nimemaanisha Transcript na Cheti ndo vikae kwenye PDF moja na sio Vyeti vyote.kijana wewe ndo hujaelewa hiyo statement hawajakuambia weka kwenye PDF moja but umeambiwa attachment zako zote ziwe katika PDF
mkuu hujaelewa hii kauli ,wamemaanisha attachment zote ziwe katika PDF na si kwamba uweke katika PDF moja
Acha uongoMbinu pekee ni ya ndugu naizeshen, hata ukijibu ushuzi utapita.