Hii nchi inatia hasira sana.Taasisi huru inatumia kodi za wananchi kupiga kampeni.
Nina uhakika huzitambui gari za serikali.Mamlaka ya Mapato Tanzania imeamua kumfanyia kampeni Magufuli kwa style ya aina yake.
Kuna gari ya matangazo ambayo sasa hivi iko kariakoo ikiwatangazia wafanyabiashara kulipa kodi. Gari hiyo imepigwa stika za matangazo ya mgombea wa urais Magufuli.
TRA acheni uhuni huu mara moja kwani nyie ni taasisi iliyohuru. Na kitendo cha kubandika stika kwenye gari hiyo ni kumpendelea mgombea huyo na matumizi mabaya ya kodi zetu wananchi
View attachment 1559182
We ndio uache ujinga.Nina uhakika huzitambui gari za serikali.
Hao watu wa PA wanakupotezea muda mpaka kuja kutupigia kelele hapa?
Ukiingia ofisi yoyote ambayo si ofisi magumashi ni lazima ukute picha ya Magufuli ukutani kwenye fremu, nakukumbusha tu hili uwe na akili na uwache ujingaujinga.
Haya majitu sijui akili yatapata lini? Huko TRA ofisini Kuna picha za Magufuli na hawalalamiki Sasa gari ya serikali ikibandikwa picha ya Magufuli Kuna tofauti gani?Nina uhakika huzitambui gari za serikali.
Hao watu wa PA wanakupotezea muda mpaka kuja kutupigia kelele hapa?
Ukiingia ofisi yoyote ambayo si ofisi magumashi ni lazima ukute picha ya Magufuli ukutani kwenye fremu, nakukumbusha tu hili uwe na akili na uwache ujingaujinga.
Hiyo gari ni private kwaajili ya PA, kama mtu anaharusi, msiba, ubatizo hata wewe kama umepoteza demu wako unaweza kodi ukabandika na posters, mnapoteza muda kwenye vitu visivyo na msingi wowote badala ya mngetumia muda huyo kupiga kampeni nyumba kwa nyumba.Ajabu hasa. Ina maana kipindi hiki taasisi muhimu za Serikali kama TRA, zinaendeshwa na watu wenye uwendawazimu kiasi hiki!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi ina mafala wengi sana, mojawapo hili hapa.... Hebu nenda kasome maadili na kanuni za uchaguzi badala ya kumwaga upupu hapaa...Haya majitu sijui akili yatapata lini? Huko TRA ofisini Kuna picha za Magufuli na hawalalamiki Sasa gari ya serikali ikibandikwa picha ya Magufuli Kuna tofauti gani?
Kama chadema hamuitambui serikali Basi nanyi kabandlikeni picha ya Lissu muwe mtangaza wafanya biashara wakalipe Kodi.
Japo tume wako busy kafanya vizuri kuwakumbusha, japo nimwendo wa kujitoa ufahamuKuna mambo yatakupasua kichwa bure it's better to stay quiet badala ya kujaji mambo madogo kama hayo at least tume ndio wangefanya hivyo labda.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mkuu hapa umeteleza tu.Mamlaka ya Mapato Tanzania imeamua kumfanyia kampeni Magufuli kwa style ya aina yake.
Kuna gari ya matangazo ambayo sasa hivi iko kariakoo ikiwatangazia wafanyabiashara kulipa kodi. Gari hiyo imepigwa stika za matangazo ya mgombea wa urais Magufuli.
TRA acheni uhuni huu mara moja kwani nyie ni taasisi iliyohuru. Na kitendo cha kubandika stika kwenye gari hiyo ni kumpendelea mgombea huyo na matumizi mabaya ya kodi zetu wananchi
View attachment 1559182
Nakuunga mkono kam gari lingelikuwa la TRA sawa mfanyabiashara kajiongeza 'initiative and opportunity seeking are keys to business success'Mkuu hapa umeteleza tu.
Hiyo Ni gari binafsi.. wamelipwa kufikisha ujumbe unaotaka waufikishe kwa sauti.. na clearly Kama ulivyosema unewasikia wakiufikisha..watu wakalipe Kodi... Tunaweza sema TRA amepata alicholipia..
Lakini as a great business manager hainizui kufanya na mengine.. Sasa sauti haimzuii mtu kuona.. amekuja mtu anayetaka niweke picha zake za matangazo kwenye gari.. naachaje Sasa!?
Ungesikia amesema kitu juu ya hizo picha au gari lingekuwa la Halmashauri ya Manispaa au jiji.. hoja hii ingekuwa na mashiko.
Kwa Sasa mmiliki wa gari tumuache aongeze vyanzo vya mapato yake.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii nchi sio mali ya tumeKuna mambo yatakupasua kichwa bure it's better to stay quiet badala ya kujaji mambo madogo kama hayo at least tume ndio wangefanya hivyo labda.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app