Uchaguzi 2020 TRA Acheni Uhuni huu kipindi hiki cha kampeni

Kweli elimu inahitajika sana kwa kizazi hiki
Maana naona mda si mrefu utakuja kulalamikia usafiri wa daladala kubandikwa stika za wagombea na ilihari watumishi wa serikali wanatumia kwenda makazini
 
Kweli elimu inahitajika sana kwa kizazi hiki
Maana naona mda si mrefu utakuja kulalamikia usafiri wa daladala kubandikwa stika za wagombea na ilihari watumishi wa serikali wanatumia kwenda makazini
Case hii ni tofauti.
Hapa kodi za wananchi zimetumika kulipa gari ya PA ambayo imebandikwa stika za wagombea wa CCM.
Gari hiyo ilipaswa isiwe na stika zozote za mgombea yeyote yule wa chama chochote.
 
Picha za ofisini zimeandikwa chagua Magufuri..pathetic
 
Picha kama Mwenyekiti wa ccm au Rais wa nchi? Nchi gani duniani hujawahi ona hilo? Kuwa mataga siyo tiketi ya kuwa mjinga
 
Kuna watu wajinga lakini wewe dah sijui nikuiteje ndugu mataga
 
TRA imelipia matangazo ya wananchi kulipa kodi.
Haimpangii mwenye gari rangi ya gari atakalotumia kutangaza kwasababu TRA hawajaomba matangazo ya picha wameomba ya sauti iwafikie walengwa.
Sasa mwenye gari na mambo yake binafsi hayawezi kuwa ya taasisi iliyompa kazi.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Gari siyo la TRA; huyo ni mjasiria mali kwa upande wa matangazo.
 
Safari hii tutaona wapiga kampeni wanafiki wa kila aina , nimeliona na hili lichungaji la kisabato Simiyu eti linampigia kampeni bila aibu kabisa mchana kweupe
 
Kama hiyo gari unayosemea hapa ndo hiyo kwenye picha unapotosha. Ili tukuamini tuwekee video hapa ya hilo gari likitangaza.
 
Na hapa bukoba tumeliona gari kama hilo.. dawa yao tumeamua kuto kulipa hadi watoe hizo picha za mwenyekiti wa ccm.
 
Tofautisha Picha ta Rais na Picha ya mwenyekiti wa ccm..

Maofisini Tunaweka picha ya Rais
 
You are a cursed individual!
 
Lame justification!
 
Hilo gari ni gari binafsi, TRA hukodisha tu kwa ajili ya matangazo na hawana uwezo wa kumpa mashariti mmiliki wa gari aweke picha ipi au asiweke. Mbona ofisi zote za Serikali zina picha ya Magufuli hazijatolewa kwa nini usihoji hilo kwamba ni sehemu ya kampeni?
 
Kuna mambo yatakupasua kichwa bure it's better to stay quiet badala ya kujaji mambo madogo kama hayo at least tume ndio wangefanya hivyo labda.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Tume haijawahi kukemea dhidi ya CCM, na hautathubutu kufanya hivyo. Kuna magazeti na tv zilifungiwa kwa kutaja walimopita bila kupingwa. Jana Chenge kawataja walimopita jimboni kwao, isubiri tume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…