TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Fl9rQt0XgAISiHI

Fl9y8uvXkAALSJr
Ila bado tunahitaji ufafanuzi wa hicho mnchoita thamani ya forodha na mjiongeze kwa kuweka sheria na kifungu husika kinachowaongoza kutenda haya ambayo yanaliza watu kila siku
 
Sasa hapo kuna brain gani masta.

Mzigo wa mil 40.. tax 26 M
Bado akiwa dukani alipe VAT, Income tax, SDE, PAYEE etc...
Killing all possibility of making our economy a success
Mkuu utulie tu tutawaleta pole pole- huu ukokotowaji ni double taxation na wizi wa wazi uliojificha kwenye sheria- this people are taking advantage of our lack of critical examination of issues- hii itakuwa agenda yetu kwa bunge lijalo na bunge la bajeti
 
Mimi ninaanza na mbuge wangu, asipolisemea bungeni bunge lijalo na bajeti sitamuunga mkono hata kidogo
 
Mkuu utulie tu tutawaleta pole pole- huu ukokotowaji ni double taxation na wizi wa wazi uliojificha kwenye sheria- this people are taking advantage of our lack of critical examination of issues- hii itakuwa agenda yetu kwa bunge lijalo na bunge la bajeti
Ati kwa nini ushuru wa forodha uongezwe kwenye ushuru wa bidhaa halafu upigiwe hesabu ya kodi?

Hapa wanatufanyia utapeli tu.
 
Back
Top Bottom