TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

Bado kuna port charges, shipping line charges, wharfage, clearing Agent charges, local transport charges NK.
Duh! Wanakaba na kuuwa taratibu.ndio maana biashara nyingi Tanzania haziendelee na zingine kufa kifo cha mende.
 
Sipendi hii taasisi ya kipumbavu sana, napenda kulipa kodi sana na najua ni wajibu na uzalendo, ila hiki chombo hakina faida, ni chombo Cha kifedhuli tu
 
Fl9rQt0XgAISiHI

Fl9y8uvXkAALSJr

Ila bado tunahitaji ufafanuzi wa hicho mnchoita thamani ya forodha na mjiongeze kwa kuweka sheria na kifungu husika kinachowaongoza kutenda haya ambayo yanaliza watu kila siku
Unalipa Kodi ya Kodi ni Akili au matope hamna kitu ni sifuri tu.
 
Yani mzigo wa thamani ya 40m unalipa ushuru zaidi ya 50% yathaman ya mzigo ndo maana magendo hayaishi.
 
Sheria hii ipo Tanzania tu tena ni kwa ajili ya watu masikini pekee, wafanyabiashara wakubwa haiwahusu hii, na wawekezaji aka wachukuaji kutoka nje haiwahusu.

Mkoloni mweusi ni hatari
 
Hapo bado TBS nadhani itaongezeka zaidi mzigo unapoingia Tanzania wanaopata faida wa kwanza ni TRA...TRA ni kikwazo kwa maendeleo ya Tanzania wao badala ya kuwa na kodi moja kama wenzao wao wameweka viingereza vingi kama matapeli ili kuibia watu baadae wengi wanafikiri kukwepa kodi kwa kutoa rushwa kubwa...
 
Yule jamaa aliewasema kaongea point sana. TRA wanakosea sana kulipisha kodi bidhaa ile ile zaidi ya mara 10
 
Duh! unapigwa kitanzi alafu unahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
->TRA mnaharibu future ya biashara za watu na kulazimisha ukwepaji kodi.
 
Wateja anatengeneza TRA au mimi, hivi mnajua VAT kwa business owner ni expense na sio kama mnavofikiria.... kumbuka una compete na wengine ambao sio VAT registered kwenye same market na similar product line.. hii game ni ngum kuliko mnavoweza kufikir
Sjakuelewa, kwamba Kuna waagizaji wa mizigo nje ya Nchi na
Sio VAT registered?
 
Back
Top Bottom