TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

Sasa hapo kuna brain gani masta.

Mzigo wa mil 40.. tax 26 M
Bado akiwa dukani alipe VAT, Income tax, SDE, PAYEE etc...
Killing all possibility of making our economy a success
Mkuu utulie tu tutawaleta pole pole- huu ukokotowaji ni double taxation na wizi wa wazi uliojificha kwenye sheria- this people are taking advantage of our lack of critical examination of issues- hii itakuwa agenda yetu kwa bunge lijalo na bunge la bajeti
 
Mimi ninaanza na mbuge wangu, asipolisemea bungeni bunge lijalo na bajeti sitamuunga mkono hata kidogo
 
Ati kwa nini ushuru wa forodha uongezwe kwenye ushuru wa bidhaa halafu upigiwe hesabu ya kodi?

Hapa wanatufanyia utapeli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…