TRA calculator sehem ya fuel consumption

TRA calculator sehem ya fuel consumption

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Je kama unataka kukadiriwa kodi, eneo la kujaza mafuta hakuna option kama gari ni ya umeme tu. Kuna petrol na diesel. na ukiacha blank haitoi majibu. Au Tanzania hatujaruhusiwa kuimport magari ya umeme!
 
Kuna petrol na diesel. na ukiacha blank haitoi majibu. Au Tanzania hatujaruhusiwa kuimport magari ya umeme!
Kweli Tech. Inakuwa kila kukicha, Mamlaka husika inatakiwa walitazame hili.
 
Swali zuri sana,huko mbeleni wa-add na magari ya kutumia hydrogen.
 
We unanishauri nicheze kamari zama hizi. Unaweza kuagiza wakasema hatujaruhusu na hatuna sera hiyo kwa sasa. sijui ndo unaifanyaje. Fursa ya uber naiangalia kwa jicho la electric car.
Labda nikuulize ukinunua Gari la kutumia umeme unalihakikishia vipi uhakika wa kulicharge as Electric Vehicle Charging Stations kwa Tanzania yetu bado ni ndoto!.
Yale magari yanakula umeme usitegemee kwa hizi Luku zetu za 30,000 kwa mwezi kuna mtu ataweza kukuruhusu uconnect kulicharge!.
We nunua gari ya mafuta tu, subiri pakichangamka utamuachia hata mdogo wako ununue la umeme!.
 
We unanishauri nicheze kamari zama hizi. Unaweza kuagiza wakasema hatujaruhusu na hatuna sera hiyo kwa sasa. sijui ndo unaifanyaje. Fursa ya uber naiangalia kwa jicho la electric car.
acha uwoga mkuu nunua peleka documents utakadiriwa kodi we hujiulizi gari hybrid za hapa tz zimelipiwaje kodi na kwenye calculator hakuna option ya hybrid..

au hujiulizi wanaomiliki bentrey..RR.ferrari..lambo wamelipaje kodi na hayo magari hayapo kwenye list kule kwenye calculator
 
We unanishauri nicheze kamari zama hizi. Unaweza kuagiza wakasema hatujaruhusu na hatuna sera hiyo kwa sasa. sijui ndo unaifanyaje. Fursa ya uber naiangalia kwa jicho la electric car.
Cheza tu ukishindwa ntakuja kulinunua kwenye mnada
 
Back
Top Bottom