The Lost Boy
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 248
- 311
Lau nitataka kufungua biashara leo, nikienda TRA nitapata kila kitu kwa maana TIN na Tax Clearance pasipo tabu yoyote. Tena hatumwi hata afisa kuja kuona hiyo biashara.
Kimbembe ni pale utapotaka kufunga hiyo biashara. Utaambiwa andika barua ya kufunga hiyo biashara, peleka kwa mjumbe athibitishe na kupiga, ipeleke ofisi za kata ipigwe muhuri kisha ukiepeke hiyo barua TRA waambia lipa deni lote unalodaiwa. Unafanya hayo yote, Eti bado TIN haifungwi.
Braabraa kibao. Mara uambiwe sijui kuna nani sijui hayupo, mara mfumo sijui nn... Kodi inaendelea kusoma yani, huku biashara hamna. Kuumiza watu huku. Mbona kufungua hamna mambo ya subiria vipi iwe kufunga?
TRA chanika badilikeni