DOKEZO TRA Custom office Makambako wanalipisha TZS 150,000 kwa Kontena la Parachichi kwa ajili ya kufungiwa export seal

DOKEZO TRA Custom office Makambako wanalipisha TZS 150,000 kwa Kontena la Parachichi kwa ajili ya kufungiwa export seal

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Habari,

Sisi Avocado Exporter tuko na changamoto ya muda mrefu sana.

TRA Custom office Makambako wana charge kiasi cha TZS 150,000 per Container kwa ajili ya kufungiwa export seal kwa transit shipment zinazopita Mombasa port.

Kama haujalipa hii ela, container yako haifungwi seal na inawekwa pending hata massa 8 ndo uweze kufungiwa seal. Sisi exporters tuna tumia TAHA FRESH as forwarding agent; tunalipa mpaka USD 250 kwa kila container na wana charge kwenye Invoice yao attached invoice.

Haya malipo hayan control number wala nn na wanakutumia gamba ya sima ya mtu ndo unaweka hiyo ela
tumesha report kwa mkuu wa TRA Njombe ila hakuna msaada hata maja kutoka kwao.

Nimeambatanisha excel ya shipement zote ambazo tunazifanya toka mwaka jana maka mwezi wa 8 anazotudai.

Tunaomba mamlaka husika kushughulikia hilia jambo maana limekuwa likiongeza gharama kwa sisi exporter kwa mda merfu sana bila sababu za Msingi
 
Back
Top Bottom