Sawa sikatai Boss Mimi ni mjinga sana kuliko wajinga wote Duniani
Isipokua kundika ili mradi unaandika tu hata kwa kitu usichokijua huo ni uchizi na ndio mana nikakwambia maandishi yako yanafanana na Avatar yako au hukunielewa mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
USHAURI:
Andika chochote utakacho aidha kwa kueleza au kufafanua unalolielewa, kwa kutaarifu kilichotokea, kwa kufundisha elimu uliyobobea, kwa kutahadharisha hatari iliyopo, kwa kuhimiza n.k ....
... ila kwa usichokijua andika kwa kuuliza
Ahsante [emoji120][emoji120][emoji120]