Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
- Thread starter
-
- #21
Tuombe iwe hivyo lakini pia hatuwezi kukwepa changamoto katika jambo jipya ila ni vizuri watupe mrejesho na waondoe utaratibu wa penalty kwa sasa mpaka mambo yatakapo kaa sawaChangamoto ni nyingi lkn naamini wanaendelea kuboresha mifumo hiyo.
Efilling ni shida siku zote. Wala sio mwisho wa mwezi au kwenye deadlini. Unafanya kazi katibkati inakata. Unaanza upya. Watu wanaamka saa 8 usiku kufanya filling bado shida.Adapt to the prblems find a solution. for me huwa nafile kabla ya tar 5 ikiwa sambamba na statutory zote za mwezo uliopita sababu pia lazima nisubmiy MIS Kabla ya date 10. Why wait till near deadline to file?
Sawa sikatai Boss Mimi ni mjinga sana kuliko wajinga wote DunianiUsinipangie cha kuandika mkuu.
Nitaandika navyojisikia katika mada yeyote bila kujali wewe au mtu mwingine yeyote ana mtazamo gani juu ya nilichoandika. So long as i believe nilicho andika.
Hiyo ndio kanuni yangu. Hutaki kunywa sumu.
Mjinga wewe.
Idiot.Sawa sikatai Boss Mimi ni mjinga sana kuliko wajinga wote Duniani
Isipokua kundika ili mradi unaandika tu hata kwa kitu usichokijua huo ni uchizi na ndio mana nikakwambia maandishi yako yanafanana na Avatar yako au hukunielewa mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
USHAURI:
Andika chochote utakacho aidha kwa kueleza au kufafanua unalolielewa, kwa kutaarifu kilichotokea, kwa kufundisha elimu uliyobobea, kwa kutahadharisha hatari iliyopo, kwa kuhimiza n.k ....
... ila kwa usichokijua andika kwa kuuliza
Ahsante [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji15]Du! Mkuu mbona umepanic sana yaani mpaka umerudi kwa moderate kuedit comment pole Mzee sikujua upo short tampered kiasi hicho, I am sorry Bro.Usinipangie cha kuandika mkuu.
Nitaandika navyojisikia katika mada yeyote bila kujali wewe au mtu mwingine yeyote ana mtazamo gani juu ya nilichoandika. So long as i believe nilicho andika.
Hiyo ndio kanuni yangu. Hutaki kunywa sumu.
Mjinga wewe.
Unaleta mada halafu unapangia watu nani achangie na nani asichangie.
This is a public forum and everyone is invited to air his/her comment at his/her disposal.
Kama vipi ungewapigia simu TRA.
Mpumbavu nanusu.
Na siku nyingine usiandike mada ya kijinga kama hii.
Thanx [emoji120][emoji120][emoji120]Idiot.
Stupid thread.Thanx [emoji120][emoji120][emoji120]
Wengi wanafanya wakati wa deadline halafu mfumo ukizidiwa wanalalamika.
Very True !!!Stupid thread.
Huu wa efilling TRA umezidi kaka kunawakati unatamani kupasua computer inakera mpaka unakuta kwanini umekua mlipa kodiMifumo ya serikali ndiyo ilivyo...
Mifumo ya serikali ndiyo ilivyo...
Bora wenye wahasibu watawakata mishahara kurecover hasara ya penalty sasa sisi waganga njaa tunajikata kwenye faida mimi safari Bora wafunge na hiyo biashara yenyewe silipi ntaenda Burundileo si ndo unepoteamo kabisa mfumo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wahasibu 225,000 zinakatwa kwenye mishahara