Rumanyika Donatus
New Member
- Aug 3, 2021
- 4
- 2
Kuna gate moja la barabarani wanakaa tra liko pale Makuyuni, jamani pale kuna tatizo. Iwapo utapita na lori lako pale umebeba mafuta ya kula umetoka zako Dar jamaa wanasumbua utadhani unavuka mpaka wakuingia nchi nyingine.
Mwisho wanataka pesa ambayo hata ukifikisha mzigo hauendi kupata faida hata kiduchu wanakula mpaka na mtaji. Jamaa moja alikwamishwa pale siku nne, yaani kama wanavita na wauzaji wa mafuta ya kula.
Mwisho wanataka pesa ambayo hata ukifikisha mzigo hauendi kupata faida hata kiduchu wanakula mpaka na mtaji. Jamaa moja alikwamishwa pale siku nne, yaani kama wanavita na wauzaji wa mafuta ya kula.