TRA hamjawatendea haki INTERNS wenu

Huu Uzi bado upo ,Mungu ajalie vijana tupate maarifa ya kujishuhulisha na tupate kaz
 
una uelewa mdogoo sana yanii... kwa hiyo mtu akilipwa laki 4 na nusu kwa mwezi unaona ni hela ya maana sababu miaka miwili itakuwa ni mil 10 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ukiajiriwa utaelewa labda kama ni mwanamke unatumia hela za mumeo
 
unajua kuna vitu siyo mpaka uambiwe au ufundishwe. nadhani hawa vijana ni wasomi na wamebahatika kufanya kazi ya mpito hapo TRA ni fursa iliyokuwa nzuri mno kuzidi kapat elimu kwa vitendo. Kumbuka kuna vijana wengi hawana ajira na hawakubahatika hata kuapata nafasi ya ajira za mpito. Sasa tra navyojua mimi kazi yake ni kukusanya makokotoo leo tena ianze kazi za kufundisha namna ya kukaa kitaa bila kazi? mbona vijana mnaniangusha ? kuna wenzenu hata shule hawajaenda ila wamepambana na Mungu kawasimamia na wamefaniiwa . umepewa mkataba wa mwaka ulishindwa nini jipanga kiakili na hata kuweza fanya saving angalau kidogo. tena ilikuwa ni nafasi nzuri kujifunza hata kodi wanatozaje . Mgeweza hata kuanzisha kusaidia watu kurejista TIN na kujipatia kipato ila inaonekana kujiongeza hawezi anakuja lalamikia huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…