Kupata ujasiri kama wa Gen Z kwa kizazi hiki cha Tz, Haiwezekani, wewe muda wote ni simba yanga, yaani kama vile ndio maisha yao ya kila sikuDawa ya serikali hii ni Gen Z tu. Sasa kama haihusiki Tanesco wanakusanya kwa niaba ya nani?
Kwakweli watz wamezubaaa mno wamezubaaa inatia hasiraDawa ya serikali hii ni Gen Z tu. Sasa kama haihusiki Tanesco wanakusanya kwa niaba ya nani?
Gen Z imekuja baada ya FIFA kuifungia Kenya kushiriki soka kwa miaka 5. Kabla ya hapo nao walikuwa wanajadili Gor Mahia, Sofa Paka, n.k.Kupata ujasiri kama wa Gen Z kwa kizazi hiki cha Tz, Haiwezekani, wewe muda wote ni simba yanga, yaani kama vile ndio maisha yao ya kila siku
Wala sio sababu, nimeishi kenya, hakuna wajinga kama hapa bnana!! Hilo hata jomo kenyata alimwambia Nyerere!! Wewe nchi gani masikini kwenye radio toka asubuhi hadi usiku ni vipindi vya michezo tu!!??Gen Z imekuja baada ya FIFA kuifungia Kenya kushiriki soka kwa miaka 5. Kabla ya hapo nao walikuwa wanajadili Gor Mahia, Sofa Paka, n.k.
Kwa kuwa Simba imeingia mdudu, tuombe Yanga pia iingie mdudu ili ifike mahala watu wote waache kushabikia mpira.
Mbona tume piga simu huduma kwa wateja Tanesco tukaambiwa mfumo wa kukata tozo uko TRA? Na kwamba malalamiko yaelekezwe huko TRA?
"Suala la ukusanyaji wa kodi za jengo kwa kutumia mita za LUKU ulishahamishwa kutoka TRA kwenda kwenye halmashauri na manispaa na majiji, imerudishwa serikali za mitaa.
TRA haihusiki tena na ukusanyaji wa kodi kupitia hizo LUKU." - Paul Walalaze, Meneja Elimu kwa Mlipakodi TRA alipoulizwa na Swahili Times kuhusu malalamiko ya wananchi juu ya ongezeko la makato kwenye kununua umeme
PIA SOMA
- Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
Kwa taarifa tu Gen Z ni kizazi ambacho hakitabiriki.Kupata ujasiri kama wa Gen Z kwa kizazi hiki cha Tz, Haiwezekani, wewe muda wote ni simba yanga, yaani kama vile ndio maisha yao ya kila siku
Gen Z ya bongo kama mnawategemea imekula wa chuya,,,,watu wapo bize wanasaka mishangazi na madanga labda msubirie generation एफDawa ya serikali hii ni Gen Z tu. Sasa kama haihusiki Tanesco wanakusanya kwa niaba ya nani?
Nikiangalia mazezeta ya Yanga Tangu jana hadi leo yanavyoshangilia kusajiliwa Chama ndiyo utaelewa kwa nini Jomo Kenyatta alimwambia Nyerere anatawala maiti. Ni vigumu sana vijana wa Kitanzania kufikia ufahamu na ujasiri wa Gen Z.Kupata ujasiri kama wa Gen Z kwa kizazi hiki cha Tz, Haiwezekani, wewe muda wote ni simba yanga, yaani kama vile ndio maisha yao ya kila siku