white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Hata kama ni hivyo lakini kwa wanachokifanya kenya kinaenda kuwasaidia wananchi wote kwa ujumla!! Kwani hoja zao mfano mbona maisha yanazidi kuwa magumu tu kwa wananchi wa chini wakati wanasiasa wanazidi kutajirika?!! Mafisadi yanatamba tu!! HKwa taarifa tu Gen Z ni kizazi ambacho hakitabiriki.
Mfano , chunguza familia kadhaa za jirani yako au katika mishe mishe, utakuja kugundua ndiyo kizazi kinachotukana hadi wazazi wao ( hakina UTU).
Ni kwel ndiyo wanasaidia.Hata kama ni hivyo lakini kwa wanachokifanya kenya kinaenda kuwasaidia wananchi wote kwa ujumla!! Kwani hoja zao mfano mbona maisha yanazidi kuwa magumu tu kwa wananchi wa chini wakati wanasiasa wanazidi kutajirika?!! Mafisadi yanatamba tu!! H
NaamBasi huko Halmashauri hizo fedha zinapigwa sana.
Ngoja nirudi kusoma nimetikia wito kwanza
Tunawasubiri nyie Gen z mkiwashe tuwasapoti ...Dawa ya serikali hii ni Gen Z tu. Sasa kama haihusiki Tanesco wanakusanya kwa niaba ya nani?
👍👍Ngoja nirudi kusoma nimetikia wito kwanza
"Suala la ukusanyaji wa kodi za jengo kwa kutumia mita za LUKU ulishahamishwa kutoka TRA kwenda kwenye halmashauri na manispaa na majiji, imerudishwa serikali za mitaa.
TRA haihusiki tena na ukusanyaji wa kodi kupitia hizo LUKU." - Paul Walalaze, Meneja Elimu kwa Mlipakodi TRA alipoulizwa na Swahili Times kuhusu malalamiko ya wananchi juu ya ongezeko la makato kwenye kununua umeme
PIA SOMA
- Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya
Sawa na je hao Tanesco wameiwekaje na inaenda wapi?