Nashangaa sana kuzagaa kwa malalamiko ya wafanyabiashara kubambikiziwa kodi kubwa.
Wapo Maafisa wengi TRA wasio waaminifu, wanakadiria kodi kubwa, --baadae wanakuja mlango wa nyuma kuomba Rushwa ili wapunguze makadirio.
Ni ngumu sana TAKUKURU kuwanasa maana wafanyabiashara wanaogopa kuwa, wakifichua hii tabia, TRA watafanya uhasama na huyo mfanyabiashara na kulipa kisasi...
Kwa nini Ma IT wa Tanzania au MaEngineer wasije na Software au App ya kukadiria Kodi?
Mfano..APP au Soft ware..Unaingiza Mtaji, unaingiza Mzunguko Mauzo, unaingiza total profit --then Inatoa jibu la Kodi inayotakiwa kulipa
Hakuna Soft Dunia nzima ya ku determine corporate Tax
Kodi ya Mapato itokanayo Na Biashara huwezi ku pre determine Bali unaweza kukadiria then kadri Biashara inavyoendelea utajua level ya Biashara
Hata Baada ya kumaliza operations zako unapewa Muda wa Takriban Miezi mitatu kuweka sawa hesabu zako then unakagua hesabu zako Mwishowe unapata hesabu kamili
Zipo baadhi ya kodi ambazo unaweza ku pre determine mfano kodi ya ku import Magari Lakin Kwenye Biashara Hata Wewe Mwenyewe huwezi kujua level ya Biashara yako mpaka December wakati upo January
Hawawezi kuitekereza haraka kama unavyofikiria kwani badala ya kujenga wanaweza wakajikuta wamebomoaJe, Kwa nini TRA hawatekelezi kauli ya Rais?
Je, Kwa nini TRA hawatekelezi kauli ya Rais?
Hawawezi kuitekereza haraka kama unavyofikiria kwani badala ya kujenga wanaweza wakajikuta wamebomoa
Hii ni akili kubwa sanaNashangaa sana kuzagaa kwa malalamiko ya wafanyabiashara kubambikiziwa kodi kubwa.
Wapo Maafisa wengi TRA wasio waaminifu, wanakadiria kodi kubwa, --baadae wanakuja mlango wa nyuma kuomba Rushwa ili wapunguze makadirio.
Ni ngumu sana TAKUKURU kuwanasa maana wafanyabiashara wanaogopa kuwa, wakifichua hii tabia, TRA watafanya uhasama na huyo mfanyabiashara na kulipa kisasi...
Kwa nini Ma IT wa Tanzania au MaEngineer wasije na Software au App ya kukadiria Kodi?
Mfano..APP au Soft ware..Unaingiza Mtaji, unaingiza Mzunguko Mauzo, unaingiza total profit --then Inatoa jibu la Kodi inayotakiwa kulipa
Makadirio ya kodi yameainishwa kisheria. Software yenyewe itabidi itii sheria bila shuruti! Tatizo wananchi wengi hawajui hata kodi zenyewe zinakadiriwaje!Nashangaa sana kuzagaa kwa malalamiko ya wafanyabiashara kubambikiziwa kodi kubwa.
Wapo Maafisa wengi TRA wasio waaminifu, wanakadiria kodi kubwa, --baadae wanakuja mlango wa nyuma kuomba Rushwa ili wapunguze makadirio.
Ni ngumu sana TAKUKURU kuwanasa maana wafanyabiashara wanaogopa kuwa, wakifichua hii tabia, TRA watafanya uhasama na huyo mfanyabiashara na kulipa kisasi...
Kwa nini Ma IT wa Tanzania au MaEngineer wasije na Software au App ya kukadiria Kodi?
Mfano..APP au Soft ware..Unaingiza Mtaji, unaingiza Mzunguko Mauzo, unaingiza total profit --then Inatoa jibu la Kodi inayotakiwa kulipa
Kwani wanakadiria wanajiwekea tu figure yoyote inayowajia kichwani....si kuna vitu wana viangaliaHakuna Soft Dunia nzima ya ku determine corporate Tax
Kodi ya Mapato itokanayo Na Biashara huwezi ku pre determine Bali unaweza kukadiria then kadri Biashara inavyoendelea utajua level ya Biashara
Hata Baada ya kumaliza operations zako unapewa Muda wa Takriban Miezi mitatu kuweka sawa hesabu zako then unakagua hesabu zako Mwishowe unapata hesabu kamili
Zipo baadhi ya kodi ambazo unaweza ku pre determine mfano kodi ya ku import Magari Lakin Kwenye Biashara Hata Wewe Mwenyewe huwezi kujua level ya Biashara yako mpaka December wakati upo January
Pia Msingi wa kodi sio tu kukusanya kodi
Zipo kodi zinatozwa Kwenye bidhaa kwa lengo la ku discourage Biashara husika
Mfano Mifuko ya Plastic inatozwa kodi ku discourage production sio kupata pato hivyo kodi yake inalingana Na thamani ya Mauzo
Asante Mkuu hebu nidadavulie kwanini nikinunu a mtumba wa gari kodi inazidi mara mbili ya nei niliyonunulia gari?? wakati gari ni bidhaa wala sijafanya biashara yoyote??Hakuna Soft Dunia nzima ya ku determine corporate Tax
Kodi ya Mapato itokanayo Na Biashara huwezi ku pre determine Bali unaweza kukadiria then kadri Biashara inavyoendelea utajua level ya Biashara
Hata Baada ya kumaliza operations zako unapewa Muda wa Takriban Miezi mitatu kuweka sawa hesabu zako then unakagua hesabu zako Mwishowe unapata hesabu kamili
Zipo baadhi ya kodi ambazo unaweza ku pre determine mfano kodi ya ku import Magari Lakin Kwenye Biashara Hata Wewe Mwenyewe huwezi kujua level ya Biashara yako mpaka December wakati upo January
Pia Msingi wa kodi sio tu kukusanya kodi
Zipo kodi zinatozwa Kwenye bidhaa kwa lengo la ku discourage Biashara husika
Mfano Mifuko ya Plastic inatozwa kodi ku discourage production sio kupata pato hivyo kodi yake inalingana Na thamani ya Mauzo
Sasa wanabomoa nini? (Mapato yatapungua)
TRA wameambiwa wawe wabunifu, wapanue TAX base ili kuwe na walipa kodi wengi... NA SIO KUBAMBIKIZA WACHACHE KODI KUBWA...
They are just sitting waiting for Salaries
ofcourse nilikuqa nawaza.kama wewe...biashara hizo zina variables, kwanini hizo variables zisiingizwe?? Au mpaka Mkorea avumbue ndio MaIT wetu wajifanye wajanja??Kwani wanakadiria wanajiwekea tu figure yoyote inayowajia kichwani....si kuna vitu wana viangalia
Sasa hivyo vitu vikisetiwa kwenye system lazima itatoa majibu yale yale au karibu na yao
Haya mambo ya makadirio yanatengeneza loophole kubwa sana ya wafanyabiashara kupigwa
Mnaweza mkawa na biashara inayofanana, mitaji inayofanana na mauzo yanayokaribianan nendeni sasa kwenye makadirio ndo utajua tofauti yenu...why
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ya makadirio imewekwa kwa wafanyabiashara wasio na records ambazo zinaweza kutumika kupata kodi halisi. Kama una keep records huwezi kukadiriwa.Kwani wanakadiria wanajiwekea tu figure yoyote inayowajia kichwani....si kuna vitu wana viangalia
Sasa hivyo vitu vikisetiwa kwenye system lazima itatoa majibu yale yale au karibu na yao
Haya mambo ya makadirio yanatengeneza loophole kubwa sana ya wafanyabiashara kupigwa
Mnaweza mkawa na biashara inayofanana, mitaji inayofanana na mauzo yanayokaribianan nendeni sasa kwenye makadirio ndo utajua tofauti yenu...why
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu hebu nidadavulie kwanini nikinunu a mtumba wa gari kodi inazidi mara mbili ya nei niliyonunulia gari?? wakati gari ni bidhaa wala sijafanya biashara yoyote??
Gari unalonunua kutoka nje unapata invoice kutoka kwa muuzaji ambaye unaweza ku collude nae na kuweka value ndogo ili ulipe kodi kidogo. Ndio maana nchi nyingi zimeweka standards ili kupunguza ukwepaji kodi.Asante Mkuu hebu nidadavulie kwanini nikinunu a mtumba wa gari kodi inazidi mara mbili ya nei niliyonunulia gari?? wakati gari ni bidhaa wala sijafanya biashara yoyote??
ofcourse nilikuqa nawaza.kama wewe...biashara hizo zina variables, kwanini hizo variables zisiingizwe?? Au mpaka Mkorea avumbue ndio MaIT wetu wajifanye wajanja??
Yes inaweza kuwa ni kuzuia kupunguza nchi kuwa damping place lakini pia kuondoa uwezekano wa muuzaji na mnunuzi ku collude ili kukwepa kodi.Nimeeleza Hapo Kuwa Msingi wa kodi sio tu kukusanya Mapato Pia Ni tool ya ku incourage au ku discourage kitu
Mfano Wa Hilo ulilosema kodi Hapo inatozwa ku discourage Matumizi ya aina hiyo