TRA hawana Formula au Software ya kukadiria kodi?

TRA hawana Formula au Software ya kukadiria kodi?

Hakuna Soft Dunia nzima ya ku determine corporate Tax

Kodi ya Mapato itokanayo Na Biashara huwezi ku pre determine Bali unaweza kukadiria then kadri Biashara inavyoendelea utajua level ya Biashara

Hata Baada ya kumaliza operations zako unapewa Muda wa Takriban Miezi mitatu kuweka sawa hesabu zako then unakagua hesabu zako Mwishowe unapata hesabu kamili

Zipo baadhi ya kodi ambazo unaweza ku pre determine mfano kodi ya ku import Magari Lakin Kwenye Biashara Hata Wewe Mwenyewe huwezi kujua level ya Biashara yako mpaka December wakati upo January

Pia Msingi wa kodi sio tu kukusanya kodi

Zipo kodi zinatozwa Kwenye bidhaa kwa lengo la ku discourage Biashara husika

Mfano Mifuko ya Plastic inatozwa kodi ku discourage production sio kupata pato hivyo kodi yake inalingana Na thamani ya Mauzo

Angalia hapa halafu utuambie hii software kazi yake ni nini.

https://www.gosimpletax.com
 
Angalia hapa halafu utuambie hii software kazi yake ni nini.

https://www.gosimpletax.com

Hii Ni soft ware ya ku Calculate Tax to be paid from 'Acceptable' Revenue and 'acceptable' expenditure Au kwa lugha ya kikodi Income and expenditure allowable

Hii soft ware Haina uwezo wa kutambua Revenue uliyo pokea Halafu umeificha Au Cooked expenditure

Mf Mauzo yako yakiwa 100 million Lakin ikaweka figure ya 60 M hiyo software ita calculate base on 60M iliyoweka

Kama hujaelewa nijulishe nikupe Darsa zaid
 
TRA wanabambika kodi sana mtu unakabiashara kako ka mtaji wa M3 inaambiwa ulipe milioni moja na zaidi

Remember, your mind is greatest asset.
 
Kama tunazumgumzia biashara tatizo la msingi ni kutokuwa na risiti zako (ziwe za mauzo, manunuzi, matumizi mengine au gharama za biashara) risiti zote hizo ukiwa nazo wakati wanakuja kudai kodi na kama umetumia accountant kukufanyia hesabu zako TRA awawezi kukukadiria kodi ya ajabu.

Kinachoitajika ni independent accountants kujaza gap kwa wafanyabiashara wasioweza kuajiri professional on full time, vinginevyo wao wenyewe wajifunze accounts au haya malalamiko ayatoisha miaka 800.
Nakuelewa sana lkn ata ufanye hayo bado my be uhonge ndio watakupunguzia hayo makadirio.

Remember, your mind is greatest asset.
 
Hii Ni soft ware ya ku Calculate Tax to be paid from 'Acceptable' Revenue and 'acceptable' expenditure Au kwa lugha ya kikodi Income and expenditure allowable

Hii soft ware Haina uwezo wa kutambua Revenue uliyo pokea Halafu umeificha Au Cooked expenditure

Mf Mauzo yako yakiwa 100 million Lakin ikaweka figure ya 60 M hiyo software ita calculate base on 60M iliyoweka

Kama hujaelewa nijulishe nikupe Darsa zaid

Kama wewe ni mhasibu basi nchi hii ina matatizo makubwa kuliko nilivyokuwa nafikiri. Huna cha kunifundisha; maana kwako self=assessment na ERP ni misamiati migumu kwako kuelewa. Endelea kuamini kuwa hakuna tax management software duniani.
 
TRA wanabambika kodi sana mtu unakabiashara kako ka mtaji wa M3 inaambiwa ulipe milioni moja na zaidi

Remember, your mind is greatest asset.

Watakuambia mtafute mhasibu , pengune umekopa ka hela kadogo mahali wakati huo huo wew ni mtumishi mahali ...mtu anakuja na lisuti na tai na jua kali anakuambia lipia 1000000 , kama hutaki weka mhasabu yako mezani
 
Back
Top Bottom