Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Hakuna Soft Dunia nzima ya ku determine corporate Tax
Kodi ya Mapato itokanayo Na Biashara huwezi ku pre determine Bali unaweza kukadiria then kadri Biashara inavyoendelea utajua level ya Biashara
Hata Baada ya kumaliza operations zako unapewa Muda wa Takriban Miezi mitatu kuweka sawa hesabu zako then unakagua hesabu zako Mwishowe unapata hesabu kamili
Zipo baadhi ya kodi ambazo unaweza ku pre determine mfano kodi ya ku import Magari Lakin Kwenye Biashara Hata Wewe Mwenyewe huwezi kujua level ya Biashara yako mpaka December wakati upo January
Pia Msingi wa kodi sio tu kukusanya kodi
Zipo kodi zinatozwa Kwenye bidhaa kwa lengo la ku discourage Biashara husika
Mfano Mifuko ya Plastic inatozwa kodi ku discourage production sio kupata pato hivyo kodi yake inalingana Na thamani ya Mauzo
Angalia hapa halafu utuambie hii software kazi yake ni nini.
https://www.gosimpletax.com