GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Nimtumishi tayari wa umma ,sio TISs ashindwe fahamikaKama mtu katumiwa offer letter na kupiga simu, unataka Tena jina lake liwekwe Google Hadi wachawi wa kijijini walione?
ww n mjinga ingawaje mm sijaomba kazi tra wala hazinihusu lkn kama taasisi kubwa kama tra inaajiri kwa mtindo huo bas system ya serikali ya kufatilia mambo ya ajira za watanzania ni dhaifu na inawalakiniKama mtu katumiwa offer letter na kupiga simu, unataka Tena jina lake liwekwe Google Hadi wachawi wa kijijini walione?
Kuna wachawi huwa Wana kazi ya ku download PDF na utumishi, then wanatafuta majina ya classmates wajue wamepangiwa wapi, kisha wanatangulia kuchafua anga la kule
Wachawi wenyew wanauwezo wa kufatilia taarifa zako bila ilo PDF,so pdf has nothing to do na ao wachaw wanawez kukuharibia tu.Kama mtu katumiwa offer letter na kupiga simu, unataka Tena jina lake liwekwe Google Hadi wachawi wa kijijini walione?
Kuna wachawi huwa Wana kazi ya ku download PDF na utumishi, then wanatafuta majina ya classmates wajue wamepangiwa wapi, kisha wanatangulia kuchafua anga la kule
Si mlikubaliana taasisi ziajiri zenyewe wazee!?Habari,
Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze?
Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo.
Suala la mtoto wa maskini kuajiria TRA itakuwa ni ndoto za mchana kweupe, Natamani Raisi Samia angelijua hili arudishe mamlaka kwa tume yua ajira ya serikali.
Bro! Kwa uhaba wa ajira uliopo bongo, bado unajiuliza hayo maswali! Fulsa ni chache,lazima watu washikane mashati!Habari,
Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze?
Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo.
Suala la mtoto wa maskini kuajiria TRA itakuwa ni ndoto za mchana kweupe, Natamani Raisi Samia angelijua hili arudishe mamlaka kwa tume yua ajira ya serikali.
interview hapo bado huja ajiriwa umeitwa ili ukafanyiwe usahili sasa kama umekosa jina lako liwekwe la nini kwenye matangazo? ushasema aliyeshinda anaitwa na siyo tra tu sehemu kubwa hata private utasikia tukikuhitaji tutakutafuta. Ndiyo maana CV unatakiwa uweke anuani yako au namba ya simu unadhani waliofanya hivo ni wajinga.Habari,
Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze?
Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo.
Suala la mtoto wa maskini kuajiria TRA itakuwa ni ndoto za mchana kweupe, Natamani Raisi Samia angelijua hili arudishe mamlaka kwa tume yua ajira ya serikali.
Hapa inakuwaje mkuu make kuna jamaa alianzaga kama mlinzi TRA lakini baadae akawa ofisini customs anakula kiyoyozi😅Km inataka kazi tra kwanza jitolee hata km n ulinzi au udereva, baadae utashangaa.