Mlachake /Congo;
Ninakubaliana na michango yenu hapo juu.....TRA wamekuwa very agressive katika kukusanya kodi in TZ! Yes, wamekuwa wakiuplift CIF za magari bila mpangilio wowote na bila maelezo yanayoeleweka kwa mlipa kodi. Wanadai kwa kila aina ya gari wanastandard costs zao ambazo hutumika kama base ya kufanya assessment ya value ya gari lililoingizwa......! Which means hata kama muagizaji atakuwa kabargain na kupata bei ya chini, na hiyo cost ikawa chini ya ile waliyonayo (standard) they will go with theirs......!
Hata hivyo kama mlipa kodi hujaridhika na makadirio ya kodi, unaweza ukalipa under protest, then uka appeal kwa Commissioner for customs ukiambatanisha ushahidi wote eg email correspondences, Money transfer document (showing details za gari ulilonunua), ankara, etc etc......!
Tatizo la kuappeal ni kwamba inakupotezea muda mwingi sana kufuatilia kwa sababu these people wanakuwa very reluctant kudeal na cases hizi......!
Issue nyingine hapa, siku hizi hawa ma customs officers hawajulikana sana na wala huwezi kuwaona kirahisi na kwenye assessments wanakuwa identified kwa namba sio majina.....! hata ukienda pale kaunta huwezi waona wao, unawaona mamessangers tu...so kudeal na issues za appeal ina kuwa ngumu sana....ndio maana watu wengi hupenda kulipa tu magharama yasiyohalali.....! but this is not correct!